Ungesomea kazi muda huu usingekuwa mtaani.wakuu hali siyo powa, hivi ni kweli humu hakuna mtu anamhitaji mfanyakazi wa kumpa 3000 kwa siku nina Degree ya Accounting and Finance nipo Arusha ila ikiwa hiyo kazi ya 3000 ipo Arusha itapendeza sana
hii bahati imemuangukia yeye tubau wengine wenye sifa ya kudadia treni kwa mbele tunaruhusiwa?Shida mkiandikaga humu mnataja 3000 kwa siku, ila mkiitwa mahali mnaanza kuleta udegree mahali pa ukibarua!
Ukiwa dar kama unataka kazi ya 150k kwa mwezi nitafute. Hiyo 150k kwa mwezi ni inclusive!
Dandia tu haina shida mradi vigezo na masharti vimeelewekahii bahati imemuangukia yeye tubau wengine wenye sifa ya kudadia treni kwa mbele tunaruhusiwa?
Hata hiyo course yake angezingatia elimu asingekua anaomba kazi za buku tatu.Ungesomea kazi muda huu usingekuwa mtaani.
Sikumangi ila watu wawe makini wakati wa kuchaguwa kozi za kusoma.
Watu wasomee kazi wawe na skills.
Mzee Naona kasha pata pale juu, ange kuja Huku tunge Angalia pa kuji shikiza.
Hustler89wakuu hali siyo powa, hivi ni kweli humu hakuna mtu anamhitaji mfanyakazi wa kumpa 3000 kwa siku nina Degree ya Accounting and Finance nipo Arusha ila ikiwa hiyo kazi ya 3000 ipo Arusha itapendeza sana
Inclusive?Shida mkiandikaga humu mnataja 3000 kwa siku, ila mkiitwa mahali mnaanza kuleta udegree mahali pa ukibarua!
Ukiwa dar kama unataka kazi ya 150k kwa mwezi nitafute. Hiyo 150k kwa mwezi ni inclusive!
Hapo nauli nilipo ni magari mawili kufika hapoPole mkuu, umejaribu viwandani kama A to Z hapo kisongo?
Sipo dsm mkuuShida mkiandikaga humu mnataja 3000 kwa siku, ila mkiitwa mahali mnaanza kuleta udegree mahali pa ukibarua!
Ukiwa dar kama unataka kazi ya 150k kwa mwezi nitafute. Hiyo 150k kwa mwezi ni inclusive!
Kazi ipo mkuu?Shida mkiandikaga humu mnataja 3000 kwa siku, ila mkiitwa mahali mnaanza kuleta udegree mahali pa ukibarua!
Ukiwa dar kama unataka kazi ya 150k kwa mwezi nitafute. Hiyo 150k kwa mwezi ni inclusive!
nipe mchongo wa kazi mkuuMzee Naona kasha pata pale juu, ange kuja Huku tunge Angalia pa kuji shikiza.