Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,196
Kaazi kweli kweli Hivi bwana Yesu Kristo alikuwa akiwaombea Wafuasi wake kwa kuwakany'aga Vichwani?hapa kukanyagana tu kama mgambo Wachungaji wameyapata wapi elimu hii jamani?
imani nyingine ni mbovu kabisa Bwana Yesu asifiwe Haleluya Emin.
Matayo 15:14Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
14 Waacheni; wao ni viongozi vipofu. Na kama kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, wote wawili watatumbukia shimoni.”