Hakuna Usalama Duniani

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
Nje ya Yesu hakuna usalama , nje ya Yesu hakuna ulinzi , nje ya Yesu ni hatari nje ya Yesu kuna hatari nyingi hakuna Amani nje ya Yesu.

Maisha Yetu nje ya Yesu ni kama tuko mawindoni, siku zote aduhi wetu shetani ni kuwinda uhai wetu , Maisha yetu hayatofautiana na wale wanayama walioko porini Kwa sababu ya Yesu usiku na mchana tunalindwa shetani kaweka mitego na Zana ili atukamate.

1 Petro 5:8 Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.

Milangoni mwetu kuna watesi wamesimama mlangoni wanatutegea hakuna faida nje ya Yesu uhai wetu nje ya Yesu ni kama mvuke Kwa kitambo hauko tena.

Yakobo 4:14 walakini hamjui yatakayokuwako kesho. Uzima wenu ni nini? Maana ninyi ni mvuke uonekanao kwa kitambo, kisha hutoweka.

Maisha Yetu pasipo Yesu ni Maisha ya Giza na kupotea , nikama unatembea katika Giza haujui uendako nje ya Yesu hakuna nuru.

Mathayo 15:14 Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.

Maisha Yetu pasipo Yesu ni kama majani ya kondeni, wakati wowote shetani anatuchuma na kukutupa motoni , nje ya Yesu ni hatari , nje ya Yesu ni kibaya hakuna Amani yoyote.

Mathayo 6:30
[30]Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je! Hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa imani haba?

Nje ya Yesu , ni hasara hakuna faida hakuna Raha hakuna tumanini, hakuna Amani hakuna.

Isaya 48:22 Hapana amani kwa wabaya, asema BWANA.

Nje ya Yesu Leo hupo kesho haupo hakuna faida yoyote nje ya Kristo Yesu, Leo uko kesho hauko , unakokwenda haujui unakwenda wapi

Miaka inafupishwa , Leo hatuna wazee WA miaka 120 ambao Mungu ametupa.

Mwanzo 6:3 BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.

Hata ile miaka ya Daudi kufika ni mtihani , watu wanaondoka hata mile ambacho Mungu kaweka ndani Yao hakijafanya kazi.

Zaburi 90:10Siku za miaka yetu ni miaka sabini,Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea mara.

Leo hii miaka imefupishwa wazazi hawaoni tena Wana wa wanao.

Zaburi 128:5-6
[5]BWANA akubariki toka Sayuni;
Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;
.
[6]Naam, ukawaone wana wa wanao.
Amani ikae na Israeli.
Yea, thou shalt see thy children's children, and peace upon Israel.

Hakuna furaha nje ya Yesu , shetani atakupa furaha Ila ni ya kitambo, furaha ya shetani ni ya siku chache Tu Ila furaha ya Bwana ni ya milele

Waebrania 11:25 akaona ni afadhali kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha katika dhambi kwa kitambo;

Ndugu Yangu unayejifuraisha katika Dhambi , siku zote Bwana anakusishi katika Kinywa cha watumishi wake ugeuke uache dhambi, hiyo neema unavyoiona Leo kuna siku utaitafuta lakini hautaiona ,Mungu yupo na Mbinguni ni halisi kama vile duniani ni halisi, usiombe upitwe na neema ya Yesu utaitafuta hauta ipata

Wale tulioipata neema ya Yesu usiku na mchana tunamlilia asije hakatuacha kutokana na udanganyifu ulioko duniani, Yesu yu karibu, Yuse anakuja , haijalishi kwamba atakujaje Ila uhai wako unaweza kuondoka wakati wowote, mpe Yesu Maisha yako ,ikk siku utatamani kuiona hiyo Neema na usion

Nimaombi yangu kwako unaposome ujumbe huu kama ujampa Yesu Maisha fanya maamuzi SASA , amua Moyoni kumkaribisha Yesu ndani yako , amua kuanza upya katika Krist

Kuokoka sio ushamba Bali ndio ujaja nje ya Yesu ni ushamba na kupotea shetani akupendi anakuonyesha fahari za duniani ili ukubali kwenda Naye jehanam
 
Ninaposoma walaka huu WA Mtume Petro Kwa watu wote, ni walaka wenye Maneno mazito Sana akitukumbusha Kwa habari za tumanini tulilonalo Kwa habari za Yesu, akitutia Moyo na kutukumbusha tusijekukavutwa na dunia tukasahau ahadi za Mungu , ni maneno yenye nguvu za Roho wa Mungu kushawishi Roho, nafsi na akili za Mwanadamu zisitumike kuzuia kweli ya Mungu tukapotea

2 Petro 3:1-10
[1]Wapenzi, waraka huu ndio wa pili niwaandikiao ninyi; katika zote mbili naziamsha nia zenu safi kwa kuwakumbusha,
:
[2]mpate kuyakumbuka yale maneno yaliyonenwa zamani na manabii watakatifu, na ile amri ya Bwana na Mwokozi iliyoletwa na mitume wenu.
:
[3]Mkijua kwanza neno hili ya kwamba katika siku za mwisho watakuja na dhihaka zao watu wenye kudhihaki, wafuatao tamaa zao wenyewe,

[4]na kusema, Iko wapi ahadi ile ya kuja kwake? Kwa maana, tangu hapo babu zetu walipolala, vitu vyote vinakaa hali iyo hiyo, tangu mwanzo wa kuumbwa.
.
[5]Maana hufumba macho yao wasione neno hili ya kuwa zilikuwako mbingu tangu zamani, na nchi pia, imefanyizwa kutoka katika maji, na ndani ya maji, kwa neno la Mungu;
:
[6]kwa hayo dunia ile ya wakati ule iligharikishwa na maji, ikaangamia.
:
[7]Lakini mbingu za sasa na nchi zimewekwa akiba kwa moto, kwa neno lilo hilo, zikilindwa hata siku ya hukumu, na ya kuangamia kwao wanadamu wasiomcha Mungu.
.
[8]Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
.
[9]Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba.
.
[10]Lakini siku ya Bwana itakuja kama mwivi; katika siku hiyo mbingu zitatoweka kwa mshindo mkuu, na viumbe vya asili vitaunguzwa, na kufumuliwa, na nchi na kazi zilizomo ndani yake zitateketea.
.
 
Nje ya Yesu hakuna usalama , nje ya Yesu hakuna ulinzi , nje ya Yesu ni hatari nje ya Yesu kuna hatari nyingi hakuna Amani nje ya Yesu

Maisha Yetu nje ya Yesu ni kama tuko mawindoni, siku zote aduhi wetu shetani ni kuwinda uhai wetu , Maisha yetu hayatofautiana na wale wanayama walioko porini Kwa sababu ya Yesu usiku na mchana tunalindwa shetani kaweka mitego na Zana ili atukamate

1 Petro 5:8 Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.

Milangoni mwetu kuna watesi wamesimama mlangoni wanatutegea hakuna faida nje ya Yesu uhai wetu nje ya Yesu ni kama mvuke Kwa kitambo hauko tena

Yakobo 4:14 walakini hamjui yatakayokuwako kesho. Uzima wenu ni nini? Maana ninyi ni mvuke uonekanao kwa kitambo, kisha hutoweka.

Maisha Yetu pasipo Yesu ni Maisha ya Giza na kupotea , nikama unatembea katika Giza haujui uendako nje ya Yesu hakuna nuru

Mathayo 15:14 Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.

Maisha Yetu pasipo Yesu ni kama majani ya kondeni, wakati wowote shetani anatuchuma na kukutupa motoni , nje ya Yesu ni hatari , nje ya Yesu ni kibaya hakuna Amani yoyote

Mathayo 6:30
[30]Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je! Hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa imani haba?

Nje ya Yesu , ni hasara hakuna faida hakuna Raha hakuna tumanini, hakuna Amani hakuna

Isaya 48:22 Hapana amani kwa wabaya, asema BWANA.

Nje ya Yesu Leo hupo kesho haupo hakuna faida yoyote nje ya Kristo Yesu, Leo uko kesho hauko , unakokwenda haujui unakwenda wapi

Miaka inafupishwa , Leo hatuna wazee WA miaka 120 ambao Mungu ametupa

Mwanzo 6:3 BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.

Hata ile miaka ya Daudi kufika ni mtihani , watu wanaondoka hata mile ambacho Mungu kaweka ndani Yao hakijafanya kazi

Zaburi 90:10Siku za miaka yetu ni miaka sabini,Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea mara.

Leo hii miaka imefupishwa wazazi hawaoni tena Wana wa wanao

Zaburi 128:5-6
[5]BWANA akubariki toka Sayuni;
Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;
.
[6]Naam, ukawaone wana wa wanao.
Amani ikae na Israeli.
Yea, thou shalt see thy children's children, and peace upon Israel.

Hakuna furaha nje ya Yesu , shetani atakupa furaha Ila ni ya kitambo, furaha ya shetani ni ya siku chache Tu Ila furaha ya Bwana ni ya milele

Waebrania 11:25 akaona ni afadhali kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha katika dhambi kwa kitambo;

Ndugu Yangu unayejifuraisha katika Dhambi , siku zote Bwana anakusishi katika Kinywa cha watumishi wake ugeuke uache dhambi , hiyo neema unavyoiona Leo kuna siku utaitafuta lakini hautaiona ,Mungu yupo na Mbinguni ni halisi kama vile duniani ni halisi, usiombe upitwe na neema ya Yesu utaitafuta hauta ipata

Wale tulioipata neema ya Yesu usiku na mchana tunamlilia asije hakatuacha kutokana na udanganyifu ulioko duniani , Yesu yu karibu , Yuse anakuja , haijalishi kwamba atakujaje Ila uhai wako unaweza kuondoka wakati wowote , mpe Yesu Maisha yako ,ikk siku utatamani kuiona hiyo Neema na usione

Nimaombi yangu kwako unaposome ujumbe huu kama ujampa Yesu Maisha fanya maamuzi SASA , amua Moyoni kumkaribisha Yesu ndani yako , amua kuanza upya katika Kristo

Kuokoka sio ushamba Bali ndio ujaja nje ya Yesu ni ushamba na kupotea shetani akupendi anakuonyesha fahari za duniani ili ukubali kwenda Naye jehanamu

Amina mtumishi, ubarikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom