The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,655
- 119,994
Lengo kuu ni kuficha macho yao ''Hide their eye movement'' anaweza akawa anakuangalia ila wewe huoni kama anakuangalia wewe,anakua anafanya scan kwa macho eneo hilo bila kuona kua amefocus kuangalia eneo gani,Kuna uhusiano gani wa kuwa mlinzi wa rais/kiongozi mkubwa na miawani myeusi?
Na anafanana na mjusi kweli.Huyo wa mbele mwenye kipara anajiona kama wa kwenye Ile Conspiracy ya wale walinzi wa Obama wa Reptilian Shape Shifter.
Anyway tumezoea kutishana.
Ni hela hizo
Ndio hivyo mkuuKwamba kuna mabunduki?
Siyo QM au econometrics?Notes za Macroeconomics na Microeconomics
Mwana jamvi
Mtafute sasa wale Reptilian Secret Service agent .Marekani anajua kuzusha aiseeeNa anafanana na mjusi kweli.
Bullet proof inazuiaje risasi ikiwa imekunjwa namna hiyo. Mtu ashambulie ndio mpalangane kukunjua hizo proof?bullet proof
Sifa za kijinga tu wakati wameshindwa kudeliver.
Basi tuseme kuwa ni begi la hela ili mridhike!Bullet proof inazuiaje risasi ikiwa imekunjwa namna hiyo. Mtu ashambulie ndio mpalangane kukunjua hizo proof?
ChaiNa anafanana na mjusi kweli.
Vipi Hali ya mzee wetu mvaa kofia za horse riders/county men/cowboy 🤠Basi tuseme kuwa ni begi la hela ili mridhike!
Mkuu, kwa hali iliyofikia sasa hakuna haja ya wananchi kujali wala yeye mwenyewe hatumpunguzii lolote kwa kutokumjali.Mbwembwe tu nyingi halafu huku mtaani wananchi hata hatujali.
Busara inanituma kunyamazaVipi Hali ya mzee wetu mvaa kofia za horse riders/county men/cowboy