Haya leo funguka na walugulu

Haya leo funguka na walugulu

Vodka

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
906
Reaction score
96
Naona kila siku ni wahaya,wachaga,wanyakyusa,..Lakini mbona kuna makabila mengi bongo.Hebu tusaidiane yale yanayo watambulisha hawa kina mkude na kina mwenda...anayewafahamu au kuwasikia tuambie..nawasilisha.
 
ukiwasikiliza vizuri wakati wanazungumza-hawana stop-wanakuwa wanazungumza kama wanaimba
 
Ukimwona Mruguru mrefu, basi kuna mbegu ya kisukuma imepandwa hapo!! ha ha haaaaaa!!!
 
Sitaki kabisa kusikia kabila hilo, kuna demu wa kabila hilo alinilia hela yangu halafu akakimbia. Wenye kabila hili mkusanyane mchange hela mnirudishie haraka, kiwango mni pm, la sivyo nazidi kumsaka dada yenu, na nikimpata, yaaani, we subiri.
 
kwani hizo pesa alikuomba?
 
Hakuna hilo kabila labda kama unazungumzia waruguru.

Wewe lazima utakuwa ni Mluguru! Mbona unajipinda kusahihisha makosa madogo namna hii wakati huwa unamezea makubwa? Kisu kitakuwa kimegusa mfupa hapa, si bure!
 
Huwa wananifurahisha wanakuja town kuuza mihogo mibichi af wananunua mihogo ya kukaanga..
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Mihogo ya mjini inanoga kimjinimjini.
 
mluguru mmoja aliomba lift kwenye lori bahati mbaya kutokana na ufinyu wa nafasi ikabidi mke akae siti ya mbele mume apande nyuma ya lori kufika mwisho walivyoshuka akaenda kulalamika kwa rafiki yake kobelo akasema mwe yule dereva hana adabu kabisa tulisimamisha motoka mke wangu kamtia mbele mie kantia nyuma waluguru mpooooo
 
Huyo atakua sio mluguru alikudanganya. Wanapenda ngono angeweza kululipa wewe! Labda ulimuudhi kuwa unamhonga akahisi una ngoma!
Sitaki kabisa kusikia kabila hilo, kuna demu wa kabila hilo alinilia hela yangu halafu akakimbia. Wenye kabila hili mkusanyane mchange hela mnirudishie haraka, kiwango mni pm, la sivyo nazidi kumsaka dada yenu, na nikimpata, yaaani, we subiri.
 
Sitaki kabisa kusikia kabila hilo, kuna demu wa kabila hilo alinilia hela yangu halafu akakimbia. Wenye kabila hili mkusanyane mchange hela mnirudishie haraka, kiwango mni pm, la sivyo nazidi kumsaka dada yenu, na nikimpata, yaaani, we subiri.

wamekomaa halafu huwa wanapiga sasa ww jipendekeze uone.ww hata dem hajakukubali unaadha kuhonga ni dalili ya uzege domo
 
Ukimwona Mruguru mrefu, basi kuna mbegu ya kisukuma imepandwa hapo!! ha ha haaaaaa!!!
..We umejuaje babu yangu mlugulu kaoa msukumani lakini hiyo siyo fact kwan wote ni wafupi
 
Back
Top Bottom