Haya jamani karibuni kwa Bi Mkora tule cha weekendi!

Haya jamani karibuni kwa Bi Mkora tule cha weekendi!

6771397599_ed8c69dfd6_b.jpg



Hisani ya Maggid Mjengwa

Hii kitu hata Inspector Haruni alikiimba Ugali samaki unalumagia na kuchumbari...oh hoo
 
Umenikumbishia enzi za mkapa mzee ndo mara moja nilikuwa na piga hiyo maneno.Sasa ****** nilishasahau kama vipo tena
 
Menu imekaa vizuri ingawa si ya kula mwanamme wa shoka kwa upande wa matunda lol ....hayavutii AB...

FL1...heshima kwako natanguliza dadangu.

Kwa hiyo mwanamume shoka hali matunda?....:A S embarassed:
 
Soul food....jamani kitoweo hakitoshi

Jamani mumekaribishwa nyieee!...khaaa!!!

Nekstaimu basi nala mwenyewe afu niwasikie eti sijui, 'oh Ab-Titchaz mchoyo anakula peke yake'...lol....:A S-coffee:
 
ugali ni mdogo sana halafu siku nyingine usiwe unamenya tango, nutrients zote za tango zipo kwenye ile green, hiyo stem haina kitu
 
Ni kizuri ila hii sato au ngege alitakiwa awe mzima ili kufaidi na kichwa chake
 
Hii ndo tiba mbadala, si kula vi-chips na vitu visivyoongeza, ndo maana waganga wa kienyeji wameweka matangazo wanauza 'nguvu za kiume' nonsense! hii ndo menu, hakuna dawa ya nguvu............NI LISHE TU.............NENDA KWA WAFUGAJI UONE WALIVYO NA NGUVU.

Please, wezesha maisha kila m-Tz apate hii menu tuondoe matangazo ya aibu yaliyojaa kila kwenye mti mijini leo.
 
oyaaaaa tunatamanishana jamani haya mambo ni aje tenaaa.?>
 
Nikiwa Rockcity huwa napelekea sana hiyo mboga
 
hapo yamekosekana maji ya kunawa tu ningeshamaliza hou mzigo:yawn::yawn::yawn:
 
Back
Top Bottom