Haya huyo wenu wa CIA mnayemuami kwamba ni mkweli, aletwe sakata la Tundu Lisu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,604
2,000
Chadema na wengineo wanataka CIA waletwe nchini kuchunguza waliomshambulia Tundu Lisu, wanasema Muzungu hadaganyi na kuita eti uchunguzi huru na hawana imani na watu wetu wa Tanzania, sasa huyo ni aliyekuwa Top Boss wa CIA Mike Pompeo akitupa mbili tatu zake kuhusu wanavyofanya kazi kama CIA, ...

I was the CIA director, we lied, we cheated, we stole, ... Mike Pompeo.

 

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,604
2,000
Madam unakosea wapi!? Hayo ni matamshi yake binafsi si taarifa rasmi ya taasisi. Huwezi ondoa imani mfanobkwa jeshi letu la polisi kwa tukio la askali mmoja ama wachache kufanya makosa. Muhimu kujua wapo wanadamu ndani ya taasisi na wana madhaifu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app


Kwani ni wapi nimesema hayo ni matamshi ya robot? Kwa hiyo wewe unaijua zaidi CIA kuliko CIA director?
 

iamokay

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
974
1,000
Hapo ni sawa na IGP wa Tanzania aseme, sisi askari tunadanganya, tunaongopea na tunaiba. Lakini hamaanishi kuwa yeye ndio ametenda au anatenda hayo, bali anamaanisha hata ukienda magerezani utakuta askari waliohukumiwa adhabu mbalimbali kwamakosa kama hayo au zaidi ya hayo.
Hii haimaniishi ukisikia mtu ni mwana usalama ukafikiri ni mtakatifu sana. Nope!
 

Pennsylvania

JF-Expert Member
Sep 25, 2019
335
500
Umeelewa lakini alichokisema? Huyo alikuwa Top Boss wa CIA, amesema ,, I was the CIA director, we lied, we cheated, we stole, ...“
Regardless.

They lied what? They cheated what? They stole what? Specifically?

If it was something of substantial concern and security of the USA , then what he proclaimed makes great deal of sense.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,829
2,000
Umeelewa lakini alichokisema? Huyo alikuwa Top Boss wa CIA, amesema ,, I was the CIA director, we lied, we cheated, we stole, ...“
Incompatible, labda ulinganishe jinsi ambavyo tiss inahadaa ulimwengu kwa kutumia kundi LA kigaidi( wasiojulikana) kuiba , kudanganya, kupora, kuuua kulawiti
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom