Haya huwa yananikera sana...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya huwa yananikera sana......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sajenti, Jan 28, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wanajf mwenzenu nikiwa katika maeneo ya 6x6 kuna vijimambo huwa vinanikera sana kiasi hufikia hatua ya kupoteza hata appetite ya kupiga mechi. Nikikutana na msichana au mwanamke mwenye kaharufu ka mdomo, jasho, anafumba macho muda wote wa mechi,nikipiga bao anaharakisha kutafuta kufuli yake ili awahi kuondoka au anataka kumegana wakati wa giza tu (hapendi mwanga) kwa kweli naweza kumfuta katika mahusiano na nisimtafute tena....Ni mtazamo wangu tu.
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ...HIVI KUMBE HUJAOA?....
  mwanaume ambaye ni bachelor haruhusiwi kupost unachokiandika hapo.

  UNAWADHIHIRISHIA WANA-JF KWAMBA WEWE NI MALAYA?....!halafu umalaya sio ujanja mdogo wangu.

  SHAME ON YOU!
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  yuko katika kutafuta Geoff dont be hard on him. Si siku hizi kutafuta mpaka muonje!! Wasichana wa siku hizi kazi mnayo. Haziishi hizo na wala haziliwi na nyenyere zitunzenu tu ah!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ;)message sent
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ...tuendelee!
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  embu tupe sababu za maana kwanini akifumba macho unachukia, anataka kumegwa gizani unahefuka etc...why?
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Poa mdogo wangu, kwani kuoa umeona ni deal sana?? Ok endelea kutembeza bakuli..Good luck!
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hhahahahaha!....
  GROW UP!..
  UMALAYA KWENU HUKO HUKO....!ushoga kwenu huko huko!....HELL
   
 9. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  .Karibu tena.. Tunaendelea.Eeeeh!!
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  TOO LOW!...hell
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Mwelezee mtu wako na miswaki unue weye ya akiba pia jitahidi kabla ya mechi ingieni wote bafuni kwa pamoja! Inatia raha zaidi.
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Which one exactly; ya kuendelea kutafuta ama ya akina dada kutuachia tuonje?:confused:
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ....any difference please???!!!
   
 14. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  .. Ni kweli MJ, ni ushauri mzuri sana. Hata mimi nina amini katika kuelezana once ukiona kuna kitu afanyacho mwenzako hakiko sawa nami pia ni muwazi na naruhusu kukosolewa. Lakini naonekana nina ajenda ya siri ya kumpiga chini...Sielewi kwa nini??
   
 15. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Geoff na Laligeni vipi mmegonganisha madesa mtaani nini? Huko chawote bar kuna mambo!
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  |Mie nimeona ila nikasema ni majicho yangu tu siku hizi hayasomi vizuri. Mambo ya Eliza au siyo? Kaazi kweli kweli
   
 17. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Atakuwa Eliza tu huyo analeta mambo hapa.... Laligeni kaoa Geoff anaoa, anataka kukamata Eliza bila kuomba ''password'' kwa Geoff! :)
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehe!
  mdogo wangu huyu mpuuzi!
  unajua mimi mtu anaewadhihaki wanawake sooo direct and open kwa vitu ambavyo havina ukweli NAMCHUKIA SANA
   
 19. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Teehh teehh!! Masaki hapa umeniburudisha sana. anyway unadhani ni Eliza basi? Si unajua kule kwetu kipindi kama hiki na hasa wakati ambapo mwezi unaangaza sana usiku wazee walikuwa wanatushauri kuwa kama unajua nduguyo hayuko sawa hiki ndio kipindi cha kuwa naye karibu maana akiwa alone lolote linaweza kutokea. Sasa dogo Geoff naona anapata moto sana...najua ndio muda wenyewe huu atapoa tu shaka ondoa mkuu....Hapa ni peace 100%
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ......noted!
   
Loading...