Haya Gwajima

Vp kuhusu kauli yake ya kwamba "Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya israel" alikuwa anamaanisha nini? Na je, aliposema "Ya nini kukitwaa kikombe kuwapa mbwa" alimaanisha mbwa ni kina nani?
. The Master! Biblia inaongelea watu waliomkubali Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao kuwa ni wana wa Mungu, ukoo wa Yesu (yaani nduguze Yesu kiroho). Kwa hiyo, u-Israel unaoongelewa hapa sio wa kuzaliwa (kimwili) bali ule wakupewa (ungesema kirahisi naturalization). Kila aliyemkristo mfuasi wa Kristo, ambaye amejikana maisha yake ni muisrael. Soma Warumi 2.28 For he is not a jew who is one outwardly; neither is that circumcision which is outward in the flesh, but he is a Jew who is inwardly; and circumcision is that of the heart, in the spirit not.....
 
Salamander;
Nenda kanisani, ili angalau uweze kuwa abreast na terminologies zinazotumika kanisani! Na je, uko Bongo au uko Dar es Salaam?

Swala si kuwa Bongo au wapi, kitu kinachonishangaza ni kwamba huyu Mungu wa Israel anawahusu vipi watu wa Makambako?
 
Mungu ambariki Gwajima aongeze na nyingine. Wenye wivu endeleeni kufa na maumivu yenu. MUNGU IBARIKI ISRAELI PAMOJA NA MTUMISHI WAKO MTIIFU GWAJIMA.
 
Mchawi wa Endor pia alimfufua Samwel na Saul akamuona.....Kazi kwelikweli
 
Mashaidi wa Yehova mnamaslahi binsfsi. katika kitabu cha isaya kinasema naye fatwa MUNGU mwenye nguvu baba wa milele do u see!
Pia hata jina lake la imanueli maanaake MUNGU pamoja nasi.
Jiongeze
That is JESUS my Lord and Savior. He is Omnipotent God, Omnipresent God, Omniscient God and Omnilove God.
 
Swala si kuwa Bongo au wapi, kitu kinachonishangaza ni kwamba huyu Mungu wa Israel anawahusu vipi watu wa Makambako?

Hujanielewa bado. Hivi Bongo na Dar es Salaam tofauti yake ni nini? Kwa kukusaidia tu ni kwamba originally, Bongo means Dar es Salaam, changanya na za mwenzako sasa kjuanzia hapa!
 
Gwajima atauweza mziki wa geordavie.? Tunasubiri mzee wa upako nasikia yeye anmenunua meli kuwapiga bao wenzie wootee
 
Hujanielewa bado. Hivi Bongo na Dar es Salaam tofauti yake ni nini? Kwa kukusaidia tu ni kwamba originally, Bongo means Dar es Salaam, changanya na za mwenzako sasa kjuanzia hapa!

Swali langu bado liko pale pale, kwanini watu wa Shinyanga wamwabudu Mungu wa waisrael?
 
Swali langu bado liko pale pale, kwanini watu wa Shinyanga wamwabudu Mungu wa waisrael?
Salamander;
Katika maisha yako, ulishawahi kusoma/kufanya anything related to emperical/quantitative or even qualitative research ? Na kama ni ndiyo, je unakumbuka nini kuhusiana na terminologies kama "representative sample" na sample space? Could you please link the issue of your being an Israelite with the ideas? Au bado tu huwezi kuelewa mpaka hapa?
 
Last edited by a moderator:

Mpaka hapo bado sijaelewa na wala sijawahi kufanya any research imperical or botanical, na wala sikumbuki kitu chochote kuhusu terminologies unazosema. Mimi nataka uniambie hapa, acha kunizungusha zungusha, kwanini watu wa Kasulu hawana Mungu wao.
 
Atapanda na Flora asitikise mimba. Emmanuel tunakuombea na single yako hiyo ikutoe kimaisha. Rising again. Keep it up. Wakuu Emma Mbasha atazindua single yake aliyotengeneza wakati wameshaachana na Flora. Ameomba sapoti ya Watanzania kupitia wapo radio.
 

ivi ninyi mnaosali haya makanisa ya kisasa ambayo mchungaji ndo kanisa na mchumgaji ni maaeufu kuliko kanisa(kakobe..gwajima.lusekelo.lwaka t) mlikuwa mnasali wapi before n wat happened mkaacha / mkahama?!
 
Sasa ikawaje huyo Mungu wako akauliwa na Binadamu?
Binadamu wa kwanza kuumbwa ni Adam,kwa hiyo binadamu walianza kuwepo hapa duniani
Kabla ya huyo Mungu?!

Mungu wetu alitoa nafsi yake mwenyewe ili kumkomboa mwanadamu. Yeye ni muumbaji wa vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Kama wewe siyo mtu wa rohoni huwezi kuyaelewa mambo ya rohoni. Yesu ni Mungu.
 
Mpaka hapo bado sijaelewa na wala sijawahi kufanya any research imperical or botanical, na wala sikumbuki kitu chochote kuhusu terminologies unazosema. Mimi nataka uniambie hapa, acha kunizungusha zungusha, kwanini watu wa Kasulu hawana Mungu wao.

Bahati mbaya sana huwezi kumfahamu huyu Mungu kwa kuwa hujakubali awe Mungu wako. Ukikubali hata leo utaelewa maana ya Mungu wa Israeli, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka na Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…