Haya Gwajima

Gulaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
659
Reaction score
230
Chombo kikiwa tayari kumpeleka mtumishi akufufue misukule
 

Attachments

  • IMG-20140822-WA0003.jpg
    53.2 KB · Views: 2,631
Chombo kikiwa tayari kumpeleka mtumishi akufufue misukule
Chopa mpya hii kweli? Naiona kama mtumbamtumba vile.Dadangu mpendwa F, usiwe unapanda hii kitu!
 
Wivu ni mbaya sana, hasa ukiwa mwanaume halafu ukawa na wivu kwny Mali za wenzio, mtaelimika lini? Iwe ni mtumba au sadaka za walalahoi, ww inakuhusu nn? Acheni upuuzi jamani
 
Wivu ni mbaya sana, hasa ukiwa mwanaume halafu ukawa na wivu kwny Mali za wenzio, mtaelimika lini? Iwe ni mtumba au sadaka za walalahoi, ww inakuhusu nn? Acheni upuuzi jamani

Na wewe ni miongoni mwao???
 
Alifufua misukule japani wakampa helcopter
 
Hizo ni sadaka za walala hoi...Yeye anapaa angani waumini asilimia kubwa ni masikini wa kutupwa..

Kutoa sadaka,Zaka au aina ya yo yote ya malimbuko ni agizo la Mungu. Kama wewe ni mkristo tafadhali biblia agano la kale Utaona jinsi gani Mungu alibariki Ibrahimu,Mfalme Solomoni na watu wengine kibao. Ye yote amtegemeaye Mungu atabarikiwa tu,hata wewe unayesoma thread hii ukitaka kubariwa utabarikiwa tuu.
 
Ahsante kwa swali,Israel represent all people,ndo maana Yesu alizaliwa siyo kwa ajili ya Israel tu ila kwa ajili ya ukombozi wa ulimwengu wote. Karibu Tena

Vp kuhusu kauli yake ya kwamba "Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya israel" alikuwa anamaanisha nini? Na je, aliposema "Ya nini kukitwaa kikombe kuwapa mbwa" alimaanisha mbwa ni kina nani?
 

Tatizo akili yako umeihifadhi nyumba umebaki kichwa tupu...Umeelewa nilicho post....

Hapo Kanisani kuna kina mama walala hoi wanaouza nyanya na pesa yote wanampa huyu Gwajima....Huyo Gwajima ana nyumba nzuri na maisha mazuri tuu kama mchungaji...

Hiyo hela ya Chopa angeweza jenga hata kituo cha watoto yatima au hata shule ya chekechea kwa ajili ya waumini wa hapo kwake......

Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu..
 

kashtaki ukilalamika hapa haisaidii
 

Tatizo akili yako umeihifadhi nyuma umebaki kichwa tupu...Umeelewa nilicho post....

Hapo Kanisani kuna kina mama walala hoi wanaouza nyanya na pesa yote wanampa huyu Gwajima....Huyo Gwajima ana nyumba nzuri na maisha mazuri tuu kama mchungaji...

Hiyo hela ya Chopa angeweza jenga hata kituo cha watoto yatima au hata shule ya chekechea kwa ajili ya waumini wa hapo kwake......

Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu..
 
Mungu wa Israel? Vipi kuhusu Mungu wa Bongo?
Bongo wamejaa waganga wa kienyeji tu, bora tuamini Mungu aliyejidhihirisha kwa wenzetu waisrael. bongo wachawi na wapagani ndio maana tuliletewa good news za Mungu wa kweli na tunamuamini na tunamwona ktk maisha yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…