haya bwana bado nipo nipo, mabaharia mpo

wakuu mbona mimi nashindwa kuweka picha kubwa,
kama kuna mtu anajua amwage hapa maujuzi
ninazo nyingi ila sasa naboreka kuweka sasa
duh nimeshajaribi sana,
picha zote ziko kwenye pc yangu, nifanyeje

Pata ujumbe
 
this is true kabisa hali ya mtz anavyonywa. lol msg to you mjomba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…