haya ajira hizooo za kumwaga

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
serikali itaanza kuajiri walimu mwishoni mwa mwzi huu,jumla ya watakaoajiriwa ni elfu ishirini,source TBC
 
Elfu ishirini unaona nyingiiiii!!. Unajua kuna walimu wangapi wanaoingoja hiyo ajira? Ninashawishika kuamini kwamba hiyo namba ya walimu watakao ajiriwa ni kidogo mno na wengi wataendelea kubaki mtaani bila ajira.
 
Ni kweli maana hapo kuna certificate,diploma na degree holders,ila nlisikia ki2 kama,Fifty fifty kwa primary na sec
 
KWANI SIYO HUYUHUYU KAAHIDI TAR 15 nov 2011? AU! OK, WE'RE KEEPING IT IN TOURCH!
 
Back
Top Bottom