Hawezi Kunusa

Kaniki1974

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
352
22
Hbr,

Rafiki yetu, inaccessible na internet, hawezi/hajui kunusa tangu utotoni. Kazaliwa hivyo. Anajiona handicapped na angependa kunusa kama inawezekana. Yupo 37yrs M.

Afanyeje/atumie dawa/tiba gani aweze kunusa? Msaada pse wataalam na wana JF kwa ujumla.

Shukrani.
 
KANIKI,
Nashauri umpeleke au aende KUOMBEWA KWA JINA LA YESU.
 
Back
Top Bottom