Hawezi kujifunga mwenyewe au mpaka............

Anaweza lakini ndo privilege ya kuwa First Lady
 
Mimi kidani chake tuu tukiingia kwa sonala umasikini wangu wote kwisha.
 
Kuna mwana mama kushoto kwa mheshimiwa amevaa gamba, anapiga makofi na kutoa tabasabu la kujipendekeza lililojaa nidhamu ya uoga.
 
Wabongo kwa nidhamu za kipuuzi hatujambo, huyo mzee mwenye suti nyeusi kaweka pozi la heshima ya kufoji kabisa....hao kina mama wengine ndio usiseme wanajishaua na kujichekelesha.
 
Kuna mwana mama kushoto kwa mheshimiwa amevaa gamba, anapiga makofi na kutoa tabasabu la kujipendekeza lililojaa nidhamu ya uoga.

Anaitwa bi zainabu vullu, mbunge viti maalumu pwani na mwenyekiti wa UWT Mkoa wa pwani, elimu yake cheti cha uandishi wa habari SAUT MWANZA.
 
Anaitwa bi zainabu vullu, mbunge viti maalumu pwani na mwenyekiti wa UWT Mkoa wa pwani, elimu yake cheti cha uandishi wa habari SAUT MWANZA.
Aisee wadau mpo deep mno.
 
Reactions: PhD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…