Inasemekana kuna kabila moja nchini kenya wanawake huwa wanawanyanyasa na kuwapiga wanaume zao.na hii picha ni ya mmoja wa wanaume ambaye amekutana na ukatili wa mke wake....je
wanawake wa tanzania mnatamani kuwa na ubavu kama hili kabila la kenya?wanaume mnasemaje kama hali kama hii ingekuwa na tanzania?
Nikiwa mdogo kijijini kwetu kulikuwa na Meneja wa Kijiji ambaye alikuwa anakung'utwa na mkewe hadi wasamaria wema wanaingilia kati. Kwetu ilikuwa kama nusu kilometa toka kwa huyo Meneja, lakini alikuwa akichapwa na kulia hadi tunasikia tukiwa nyumbani.....Makovu ya huyu jamaa yamenikumbusha sura ya huyo Meneja...Alikuwa na makovu kama kaponea chupchup vitani!!!!
Jinsia moja? kama mtu mkorofi hata hao wa jinsia moja watatoana alama.Ndo maana kuna inchi zengeni zimeruhusu ndoa za kijinsia mmoja ili yasitokee kama haya
Mimi nisingetaka uhusiano, ningekuwa nanunua tu
eti mwanamke....wallahi labda aniwekee sumu nife kabisaa....