Hawavumi lakini wamo

Hawavumi lakini wamo

GwaB

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
5,223
Reaction score
7,082
Inasemekana kuwa picha inaweza kujieleza zaidi kuliko maneno.Nimekutana na picha hii mitandaoni.Ni nini tafsiri ya picha hii?.
Ct3La2xVUAAUsuy.jpg large.jpg
 
Sisi wa huku Nanjilinji vijijini usipo tupa na kautambulisho kidogo ya picha husika unakuwa kama umetususia mlenda wetu!
 
Ni kweli kabisa,Asante kwa angalizo.Huyo ni Maria Sarungi mkurugenzi wa taasisi ya Change Tanzania,
 
Hao watu hapo nyuma yake wanafurahia chura ya Maria Sarungi (joke)

Mtoa mada fumbua fumbooooo sio wote werevuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom