Hawana pa kukimbilia!

Hawana pa kukimbilia!

MALI YA BABA

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
459
Reaction score
119
HAWANA PA KUKIMBILIA.jpg
 

Kama tumeshindwa kuzuia ujangili bora tufundishe namna bora ya kung'oa pembe na meno bila kuwaua.. Hata ikiwezekana tutumie sindano za usingizi na ganzi na kila jangili lazima awe na daktari wa kufanya zoezi. Haya ni mawazo ya mwananchi wa kawaida asiye na uwezo wa kulinda hata ujangili kwa kuku wake wa familia. Je sawa???????
 
kwani aking'olewa asipokufa anaota mengine tena?naomba kama kinana yupo huku anisaidie jibu.
 
Wanamkimbia Kinana. Ole wao awakamate watajuta kumfahamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom