Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Hapana mkuu...HAWA NDO WALE WAIMBAJI WA KWAYA YA AMBASSADORS AU???
Sasa kama pesa ndio mwanaume pekee anayeweza kukaa na mwanamke daima mbona wamepata hizo pesa lakini hawana furaha?Hakuna umoja wa wenye njaa akija mwenye chakula.
Pesa ndio mwanaume pekee anayeweza kukaa na mwanamke daima.
Mbegu ya unafki aliyoipanda mkoloni itaendelea kututafuna daima.
[emoji188]machoni kama watu,kumbe moyoni hawana utu[emoji188]
Furaha haitokani na usaliti....Sasa kama pesa ndio mwanaume pekee anayeweza kukaa na mwanamke daima mbona wamepata hizo pesa lakini hawana furaha?
Nimekubali ya kuwa furaha ni kitu gali sana.Kumbe fedha na mamlaka bado havina uwezo wa kumpa mtu furaha!Unaweza kufikiri ya kwamba hapa wapo kwenye msiba kumbe la hasha, wapo katika mchakato wa kukabidhiwa fedha pamoja na mamlaka.
Daima nitatanguliza mbele utu,ukweli pamoja na haki ili kupata furaha yangu.
View attachment 1633889View attachment 1633890