Hawakuwa kwenye maandamano

Hawakuwa kwenye maandamano

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,692
Reaction score
14,079
Lakini walipoteza maisha.
...1....
Alikuwa ni Daktari akajeruhiwa na risasi...akapata matibabu muhimbili...SIku ya 3 akafariki...nduguze walipofuata mwili...hawakupewa.
..2...Alikuwa mama wa nyumbani wa watoto wa 3...alikuwa anatoka gengeni...akapatwa na risasi na kufariki papo hapo....
.....3....Alikuwa ni kijana yatima maisha yake amekulia kanisani...vurugu za maandamano Morogoro Rd....baadhi ya watu walikimbilia Kanisani...lakini walifuatwa na risasi za moto na kuchukua uhai wa huyu kijana....haikuishia hapo...Mch.Alipojaribu kuwasihi kwamba hii ni nyumba ya ibada na kuna watoto wadogo(yatima)..
Ili wasipate trauma/taharuki...Mch.akapigwa mpaka akakimbilia madhabahuni....ndipo wale jamaa wakahofu kumpiga risasi...
.....ANYWAY...HIYO NI KWA KIFUPI NILIYO YASHUHUDIA MIMI....

......MTAPATA LAANA....
 
Back
Top Bottom