Hawakumaanisha walichokisema

Mjep hatakubali kirahisi vita yake itakuwa si ya kitoto
Umefika wakati hii mikataba iwekwe wazi kwa public iweze kui access maana tusije sema kuna mkataba kumbe kuna watu wana commission zao huko.

Mbona yule Mkurugenzi kule Kahama walitaka kumtumbua kwa kununua gari ya TZS 400M akaja kusamehewa na JPM.
 
Kamwe hawawezi kukubali hili
 
nilipo maliza chuo kikuu niliajiriwa serikalini . nilikiwa mdogo sana. niliajiriwa kufanya kazi halmashauri
pale nilikuwa idara ya afya. mashine za ex ray zilikuwa za seamen toka uholanz kama nakumbuka vizur. zikiharibika kifaa chochote lazima kiagozwe toka huko
nikhoji nilìshia majibu ya hovyo
 
Uzalendo wako ulikuponza pole mnoo
 
nilishangaa zaidi pale DMO alipokuwa anawahonga madiwani wamzungumzie vizur . siku walinifuata wakaniambia wana wasiwasiwasi na mm kuwa ni chadema ati kwann napenda magazeti? (mawio/raia mwema)
Hahahah duh
 
ilinishangaza zaidi pale DSO alipokuwa anashadidia na kuhamasisha wizi wa kura ili ccm ishinde. hukuweza kuwa yyte pale ka co mwana ccm waliyemuhitaji wao. maafisa uchaguzi hawa woote ni wana ccm tena kwa vyeo. japo wapo halmashaur.....
maafisa uchaguzi hawa woote ni wana ccm tena kwa vyeo. japo wapo halmashaur.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…