huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,519
- 1,462
Nimeona huyu SALUM MKEMI ATAKUWA KAMA JERRY MURRO porojo nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Leo hii yuko wap bila shaka huyu atakuwa kama jerry muro...
Simba na Kagera walicheza tarh 2/4,Simba wakaja kucheza tena na Mbao FC hapo katikati HUYU ANAYEBWEKA ALIKUWA WAP KABLA YA MECHI DHIDI YA SIMBA NA MBAO FC??
Je simba walikata rufaa baada ya mechi ya MBAO FC???????
Nilichomshangaaa sana n pale aliposema SISI TUNATAKA SIMBA WASHINDE UWANJANI hivi huyu ana akili kweli???
Kanuni na sheria za TFF n za kazi gan???
Hajui kwamba SERENGETI BOYS WAPO GABON kwa ushindi wa mezani?????
Ama kweli ukistaajabu ya musa utaona ya MKEMI....