...Wastaafu wawili tu hapo....Msuya na Sumaye. Huyo mwingine sio mstaafu!!!Kutoka kushoto
David Cleopa Msuya
Frederick Sumaye
Edward Lowassa
Ni mawaziri WAKUU wastaafu
mhhh ok baby, these are the retired prime ministers from left Cleopa Msuya, Sumaye and Edward Lowassawabondei ndio kina nani tena... I am not in Tanzania, I left when I was just 15 yrs when Mwinyi was the President... so it is been a while dear ...now would u care to tell me who are those guys on the picture?
...Wastaafu wawili tu hapo....Msuya na Sumaye. Huyo mwingine sio mstaafu!!!
Lowasa si mstaafu, ila waliobaki ni wastaafu...Think!Mwana JF kwa upande wako unaonaje?
Wote ni wastaafu? au nini tofauti yao?
Ntarudi tuu mshikaji lakini bado kidogo natafuta Hela kwanza...
Kitu kinacho nishangaza ni kwamba, TBC1 kila wanapotoa habari kuhusu Lowasa,
Huwa wanamwita 'Waziri Mkuu Mstaafu"
Sasa sijui hawajui Kiswahili au wana makusudi yao!
utarudi vipi hata kabila lako hulijui?
Mwana JF kwa upande wako unaonaje?
Wote ni wastaafu? au nini tofauti yao?
huko juu kauliza Wabondei ni akina nani? sasa kama Wabondei hawajui kabila lake anaweza kulijua kweli? pengine huyu ni wa kalamu.Duh hajasema hivyo Cka...!usimuonee...