Angekuwa Chadema angegombea urais!Wauza unga na CCM ni ndugu.
Kama katiba inamruhusu muacheni agombee.
Hayo mengine HAUNA UHAKIKA NAYO.
hauwezi kumtia hatiani.
Labda kama angepelekwa mahakamani
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kuna nafasi tuhuma Tu unatakiwa ukae pembeni
Ange-Angekuwa Chadema angegombea urais!
Huyu Jamaa kwa Sasa Kaka yake ndiyo Mbunge anayemaliza muda wake kutokea CUF, Anaitwa Vedastus Ngombale Mwiru. Mbunge wa Kilwa Kaskazini.Kweli mtu umaarufu pekee ulionao ni kuhusishwa na biashara ya madawa, na unaenda kugombea Jimbo hata hawakujui?



Watu wanawabebesha wenzao madawa ya kulevya tumboni bila hata kuogopa yatawalipukia ndio waje wamuogope jiwe mzee baba?duu kweli kuna watu wanamjaribu jiwe ……………...
Untouchable enzi za Mkwere, Shikamoo Magu