SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,975
- 75,057
Damu ya Mangwea inamlilia
Gap limekuwa minimised mkuuAcha kumtukuza Magu wenu mbona sasa hivi wapo untouchable akina Bashite,Dotto nk. Njaa zimewapofosha kabisa.
Kuna nafasi tuhuma Tu unatakiwa ukae pembeni
Gap limekuwa minimised mkuu
Kweli mtu umaarufu pekee ulionao ni kuhusishwa na biashara ya madawa, na unaenda kugombea Jimbo hata hawakujui?
Usemayo ni kweli ila sasa ivi tunalamba beer walau kwa amani hakuna mambo ya sijui unanijua mimi sijui kutoa bastola yamepungua kama sio kuisha kabisaKila akiingia madarakani anaingia na watu wake wa kula nao,sema utawala huu ni wa kibabe ndiyo maana mambo hayaongelewi. Hata wewe ukiingia utaingia na watu wako,zingine hizi ni siasa tu.