Hawa wazee nao wamo.

Hawa wazee nao wamo.

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
sumit.jpg
 
Mkuu wa nchi anajaribu kucopy na kupaste.

Yaani Baba Mwanaasha anapiga simbi hata kucheza!
 
Wabaya hawa kwa mademu ndo maana hakuna wanawake hapo wangewagombea!
 
mara wimbo ume-change ghafla na kuwa bluz!!!

kwi kwi kwi,c tutaona atakavyobambiwa,hvvv kwenye ule msafara mama mwanaasha naye hujumuika au ndo anaenda alone kugegeda vitaga vya kizungu
 
kwi kwi kwi,c tutaona atakavyobambiwa,hvvv kwenye ule msafara mama mwanaasha naye hujumuika au ndo anaenda alone kugegeda vitaga vya kizungu
wakati mwingine mama mwana asha utakuta naye yuko kwenye misele yake ya kimama mama!!
 
kikwenga bwana anawaza vanga tu hapo kama kashika majani wa mti..
 
mwenzie huko kwake majanga yakitokea anaacha safari na kushiriki na wananchi wenzake kukabiliana na majanga sijui yeye hajui kujifunza kwa mwenzake?
 
Back
Top Bottom