Hawa watu wabadilishane wake zao

Hawa watu wabadilishane wake zao

FURAHA YAO NI HUKU WALIKO WA MAPENZI, NA FURAHA YAKO NI HUKO ULIKO WE WA MAMBO YA MSINGI..

ACHA KILA MTU ATAFUNE NYASI YAKE NA ATAPATA FAIDA KWA MUDA WAKE.
Asante sana mkuu kwa kumsahihisha huyo mtu.
Kila mtu akacheze jukwaa lake.
🤝🤝🤝🤝🤝
 
Naenda kununua udi hapo ... Andaeni mikeka .... Ntakuja na karatasi za talaka ....

Tunavunja ndoa .
Tunaunda zingine hapo hapo.
Nusratt na holoholo
Kaogeni mje na wenza wenu wa zamani muwe mmevaa vizuri chap.
 
Naenda kununua udi hapo ... Andaeni mikeka .... Ntakuja na karatasi za talaka ....

Tunavunja ndoa .
Tunaenda zingine hapo hapo.
Nusratt na holoholo
Kaogeni mje na wenza wenu wa zamani muwe mmevaa vizuri chap.
Haya ustadhi.
Ngoja tukaoge chap tuje
 
Back
Top Bottom