Hawa watu wabadilishane wake zao

Hawa watu wabadilishane wake zao

second9

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
294
Reaction score
628
Bila salama wakuu,
Nimeona hizi post mbili zimeongozana kwenye screen nikashtuka na nikaona isiwe shida hawa ndugu wabadilishane wapenzi.

Na wengine wenye kesi kama hii mnaweza kuexchange tu sio kosa kisheria mkutane hapa kuyajenga
Nusratt holoholo

Screenshot_20250423-074837.jpg
 
Back
Top Bottom