Mzee makoti JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 4,586 Reaction score 6,647 Jun 19, 2024 #1 Huyu bw. Mdogo anaitwa Spencer Lameck, na yule sijui Buhoela, Wamepotelea wapi? Spencer nilitegemea awe hata huko bbc kwajinsi alivyokuaga mahili kwenye fani yake. Tangu afe jiwe na wao wamepotea Kabisa kabisa
Huyu bw. Mdogo anaitwa Spencer Lameck, na yule sijui Buhoela, Wamepotelea wapi? Spencer nilitegemea awe hata huko bbc kwajinsi alivyokuaga mahili kwenye fani yake. Tangu afe jiwe na wao wamepotea Kabisa kabisa
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jun 19, 2024 #2 Huyo Spencer Lameck alikuwa TBC kipindi fulani, sijajua kwa sasa kama bado yupo huko au la, na Buhohela nadhani enzi za Jiwe alipata kitengo wizara mojawapo kama afisa habari.
Huyo Spencer Lameck alikuwa TBC kipindi fulani, sijajua kwa sasa kama bado yupo huko au la, na Buhohela nadhani enzi za Jiwe alipata kitengo wizara mojawapo kama afisa habari.
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,322 Reaction score 6,967 Jun 19, 2024 #3 Utakuwa umekumbuka harakati za uchaguzi 2015😂 Ila kwa sasa Mzee wa kazi upo dunia gani? Maana huyo Spencer si ndio anatuhumiwa kupiga hela za Chibu Dangote pale Wasafini na kwa sasa ametokomea pasipo julikana? Anyway, google tu utapata taarifa zaidi
Utakuwa umekumbuka harakati za uchaguzi 2015😂 Ila kwa sasa Mzee wa kazi upo dunia gani? Maana huyo Spencer si ndio anatuhumiwa kupiga hela za Chibu Dangote pale Wasafini na kwa sasa ametokomea pasipo julikana? Anyway, google tu utapata taarifa zaidi
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,334 Jun 19, 2024 #4 Mzee makoti said: Huyu bw. Mdogo anaitwa Spencer Lameck, na yule sijui Buhoela, Wamepotelea wapi? Spencer nilitegemea awe hata huko bbc kwajinsi alivyokuaga mahili kwenye fani yake. Tangu afe jiwe na wao wamepotea Kabisa kabisa Click to expand... wengi walitimkia tbc, wakakosa ule uhuru wa itv. nadhani pia wakifika tbc wanapewa seminar elekezi juu ya kanuni za chama
Mzee makoti said: Huyu bw. Mdogo anaitwa Spencer Lameck, na yule sijui Buhoela, Wamepotelea wapi? Spencer nilitegemea awe hata huko bbc kwajinsi alivyokuaga mahili kwenye fani yake. Tangu afe jiwe na wao wamepotea Kabisa kabisa Click to expand... wengi walitimkia tbc, wakakosa ule uhuru wa itv. nadhani pia wakifika tbc wanapewa seminar elekezi juu ya kanuni za chama
Mzee makoti JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 4,586 Reaction score 6,647 Jun 19, 2024 Thread starter #5 Mtukutu wa Nyaigela said: wengi walitimkia tbc, wakakosa ule uhuru wa itv. nadhani pia wakifika tbc wanapewa seminar elekezi juu ya kanuni za chama Click to expand... Ahahaa,semina juu ya kanuni za chama kwenye chombo cha Taifa tena!!! Mmh
Mtukutu wa Nyaigela said: wengi walitimkia tbc, wakakosa ule uhuru wa itv. nadhani pia wakifika tbc wanapewa seminar elekezi juu ya kanuni za chama Click to expand... Ahahaa,semina juu ya kanuni za chama kwenye chombo cha Taifa tena!!! Mmh
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,301 Reaction score 47,303 Jun 19, 2024 #6 Imethibitika rasmi sasa hivi marinda ni nyara na mali ya Serikali/jamhuri. Jitahidini kuyalinda.
Mzee makoti JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 4,586 Reaction score 6,647 Jun 19, 2024 Thread starter #7 Just Distinctions said: Utakuwa umekumbuka harakati za uchaguzi 2015😂 Ila kwa sasa Mzee wa kazi upo dunia gani? Maana huyo Spencer si ndio anatuhumiwa kupiga hela za Chibu Dangote pale Wasafini na kwa sasa ametokomea pasipo julikana? Anyway, google tu utapata taarifa zaidi Click to expand... Kashakua fisadi na yeye?
Just Distinctions said: Utakuwa umekumbuka harakati za uchaguzi 2015😂 Ila kwa sasa Mzee wa kazi upo dunia gani? Maana huyo Spencer si ndio anatuhumiwa kupiga hela za Chibu Dangote pale Wasafini na kwa sasa ametokomea pasipo julikana? Anyway, google tu utapata taarifa zaidi Click to expand... Kashakua fisadi na yeye?
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,334 Jun 19, 2024 #8 Mzee makoti said: Ahahaa,semina juu ya kanuni za chama kwenye chombo cha Taifa tena!!! Mmh Click to expand... mkuu hicho chombo na chama kidole na pete mkuu wa chama si ndo mkuu wa serikali pia, serikali yenye chombo chake ni uzushi tu
Mzee makoti said: Ahahaa,semina juu ya kanuni za chama kwenye chombo cha Taifa tena!!! Mmh Click to expand... mkuu hicho chombo na chama kidole na pete mkuu wa chama si ndo mkuu wa serikali pia, serikali yenye chombo chake ni uzushi tu
Mzee makoti JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 4,586 Reaction score 6,647 Jun 19, 2024 Thread starter #9 The Stress Challengerr said: Imethibitika rasmi sasa hivi marinda ni nyara na mali ya Serikali/jamhuri. Jitahidini kuyalinda. Click to expand... Sawa mkuu ,yako ntayalinda mimi tafwadhali
The Stress Challengerr said: Imethibitika rasmi sasa hivi marinda ni nyara na mali ya Serikali/jamhuri. Jitahidini kuyalinda. Click to expand... Sawa mkuu ,yako ntayalinda mimi tafwadhali
Mzee makoti JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 4,586 Reaction score 6,647 Jun 19, 2024 Thread starter #10 Mtukutu wa Nyaigela said: mkuu hicho chombo na chama kidole na pete mkuu wa chama si ndo mkuu wa serikali pia, serikali yenye chombo chake ni uzushi tu Click to expand... kumbe!!
Mtukutu wa Nyaigela said: mkuu hicho chombo na chama kidole na pete mkuu wa chama si ndo mkuu wa serikali pia, serikali yenye chombo chake ni uzushi tu Click to expand... kumbe!!
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,334 Jun 19, 2024 #11 The Stress Challengerr said: Imethibitika rasmi sasa hivi marinda ni nyara na mali ya Serikali/jamhuri. Jitahidini kuyalinda. Click to expand... yakiguswa ndo yanakuwa mali ya serikali
The Stress Challengerr said: Imethibitika rasmi sasa hivi marinda ni nyara na mali ya Serikali/jamhuri. Jitahidini kuyalinda. Click to expand... yakiguswa ndo yanakuwa mali ya serikali
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,527 Reaction score 81,247 Jun 19, 2024 #12 The Stress Challengerr said: Imethibitika rasmi sasa hivi marinda ni nyara na mali ya Serikali/jamhuri. Jitahidini kuyalinda. Click to expand... We mwehu nenda kachambe vikongwe huko vimeshaamka. Mbusiiiiiiii umbwaaaa
The Stress Challengerr said: Imethibitika rasmi sasa hivi marinda ni nyara na mali ya Serikali/jamhuri. Jitahidini kuyalinda. Click to expand... We mwehu nenda kachambe vikongwe huko vimeshaamka. Mbusiiiiiiii umbwaaaa
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,301 Reaction score 47,303 Jun 19, 2024 #13 Mzee makoti said: Sawa mkuu ,yako ntayalinda mimi tafwadhali Click to expand... Acha porojo wewee linda hayo marinda weweee
Mzee makoti said: Sawa mkuu ,yako ntayalinda mimi tafwadhali Click to expand... Acha porojo wewee linda hayo marinda weweee
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,301 Reaction score 47,303 Jun 19, 2024 #14 Chaliifrancisco said: We mwehu nenda kachambe vikongwe huko vimeshaamka. Mbusiiiiiiii umbwaaaa Click to expand... Hahaha. Peleka hao mbusii malishoni weweee.
Chaliifrancisco said: We mwehu nenda kachambe vikongwe huko vimeshaamka. Mbusiiiiiiii umbwaaaa Click to expand... Hahaha. Peleka hao mbusii malishoni weweee.
900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 9,423 Reaction score 11,438 Jun 19, 2024 #15 Just Distinctions said: Utakuwa umekumbuka harakati za uchaguzi 2015😂 Ila kwa sasa Mzee wa kazi upo dunia gani? Maana huyo Spencer si ndio anatuhumiwa kupiga hela za Chibu Dangote pale Wasafini na kwa sasa ametokomea pasipo julikana? Anyway, google tu utapata taarifa zaidi Click to expand... wako na mhando dubai
Just Distinctions said: Utakuwa umekumbuka harakati za uchaguzi 2015😂 Ila kwa sasa Mzee wa kazi upo dunia gani? Maana huyo Spencer si ndio anatuhumiwa kupiga hela za Chibu Dangote pale Wasafini na kwa sasa ametokomea pasipo julikana? Anyway, google tu utapata taarifa zaidi Click to expand... wako na mhando dubai
Q Quod Nocet Saepe Docet JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 7,944 Reaction score 17,267 Jun 19, 2024 #16 Mtukutu wa Nyaigela said: wengi walitimkia tbc, wakakosa ule uhuru wa itv. nadhani pia wakifika tbc wanapewa seminar elekezi juu ya kanuni za chama Click to expand... Kama wewe siyo CCM damu-damu au Kama una fikra na Miyazaki huru, hauwezi kuwa mfanyakazi wa tbc. Tbc ni idara ya Propaganda ya CCM na Serikali yake.
Mtukutu wa Nyaigela said: wengi walitimkia tbc, wakakosa ule uhuru wa itv. nadhani pia wakifika tbc wanapewa seminar elekezi juu ya kanuni za chama Click to expand... Kama wewe siyo CCM damu-damu au Kama una fikra na Miyazaki huru, hauwezi kuwa mfanyakazi wa tbc. Tbc ni idara ya Propaganda ya CCM na Serikali yake.
K katitu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 3,289 Reaction score 3,424 Jun 19, 2024 #17 Mzee makoti said: Huyu bw. Mdogo anaitwa Spencer Lameck, na yule sijui Buhoela, Wamepotelea wapi? Spencer nilitegemea awe hata huko bbc kwajinsi alivyokuaga mahili kwenye fani yake. Tangu afe jiwe na wao wamepotea Kabisa kabisa Click to expand... Ni Bohohela
Mzee makoti said: Huyu bw. Mdogo anaitwa Spencer Lameck, na yule sijui Buhoela, Wamepotelea wapi? Spencer nilitegemea awe hata huko bbc kwajinsi alivyokuaga mahili kwenye fani yake. Tangu afe jiwe na wao wamepotea Kabisa kabisa Click to expand... Ni Bohohela
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,322 Reaction score 6,967 Jun 19, 2024 #18 Mzee makoti said: Kashakua fisadi na yeye? Click to expand... Fedha hazinaga Muungwana