Hawa watoto ndio maana wanafail aisee

vodacom wanasema kazi ni kwako
wewe unataka nini?
unaweza ukafall yeye akifail
chukua hatua
 
Mwambie bakora yako ni ya maaana sana kwako na ndio sababu hata umekuwa baba wawili na hivo hana sifa hata kidogo kuichezea!
pia achana na rafiki wazembe wanaopweza kugawa namba yako bila ridhaa yako
 
Majibu yote si sawa
 
Swali nililobaki nal: Kwa nini huyo jamaa katoa hiyo ela kwa lengo la kuwakutanisha na hataki kupokea simu yake Sangarara?
Bwana Sangarara, usidhani kama kisa hiki ndo kimeishia hapo, kuna zengwe unaandaliwa, linaweza kukulipukia bila kutarajia, kuwa makini sana na hii scandal inayokunyemelea. Huyo binti na huyo jamaa wana lao jambo, si bure... usawa huu mtu kutoa laki bila sababu, siamini
 
Mpitanjia nakwambia kwa hiyo investment ya laki moja yeye itamtoka milioni moja kama ransom.

My prediction: watakubaliana kwenda guest house, watakodi chumba ambacho tayari kimefungwa video camera na picha yote itawekwa kwenye mkanda. Atafumaniwa na ‘kaka yake’ feki na ataambiwa kwa usalama wake alipe milioni moja au mkanda ukauzwe kwenye magazeti ya udaku.

Na hapo ndipo atakapopata akili, mwache kwa sasa acheze na jamaa wa mission town.
 

Bado nalifuatilia hili swala kwa ukaribu sana. Taarifa mpya ni kwamba Jamaa hapatikani kwenye simu tena na wala nyumbani ameonekana mara ya mwisho juma mosi mchana.

Watu wake wakaribu zaidi wanadai, Jamaa alikuwa anawatoa pesa wanaume waliokuwa wakitembea na huyo biinti na kisha anavuta pesa kwa binti pia. Mpaka sasa sijaelewa alikuwa anampango wa kunitoa pesa namna gani, nadhani kungekuwa na blackmailing fulani ambayo haijaniingia kichwani vizuri sababu tulikuwa tunaheshimiana na Jamaa katika viwango hadhimu sana.

Bahati mbaya issue naona kama haitaniacha salama, sababu imeishaanza kujulikana kwamba na mimi nilikuwa ni mteja wa binti ama prospective client wake na wengine wanadai na mimi ni partiner wa Jamaa katika kuwauza hao mabinti (Taarifa zinaonyesha kwamba Jamaa alikuwa anamuuza na binti wa mzee mwenye nyumba wake)

Hali ni tete indeed.
 

Baba wawili you are playing with fire oo! Sio kwamba my silence means nimekupotezea, ohooo! Ngoja niendelee kupata tu updates za hii story yako!
 

Kumumindi mshikaji kumpa namba yako, itadhirisha personality yako iko weak. Kumkimbia sio kutatua hali iliyopo, cha msingi simama katika nafasi ya mzazi/mlezi mpe shule ya maisha na kama asipoonesha kukuelewa, mwambie asiwasiliane na wewe, na kama hataki, mweleze mkeo kwa kirefu, mjenge kisaikolojia ili akusaidie kutatua suala hili kwa kuwakutanisha sio kwa shari bali kwa heri tena binti mzuri asijue, ashtuke wife yuko hapa halafu wife wako anampa somo la kujlinda mbele yako. atakoma na anaweza kurudi shule kwa ari mpya
 
Hao watoto wa shule wasikushushie hadhi yako,achana nae hana hata cha maana cha kukupa uchafu mtupu...tulia na mkeo.
 
Kazi ndogo sana hiyo,panga siku ukutane nae bar kama alivyozoea,alafu muambie mama wawili aje na umpe habari yote nyumbani,kama mna ka usafiri mwache waif kwenye gari tena akiwa na bakora kadhaa za mianzi,wewe uanze kuonana na huyo binti then umbeep waif ili aje,akija pale asihoji kitu ni mbakora mfululizo kwa huyo binti ili iwe somo kwa wenzake!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…