Hawa wanyama hatari

Hawa wanyama hatari

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,317
91a7f10d9fe312b6243332ffb586c283.jpg
 
Mie nimeshuhudia samba wakila mizoga. Tuliweka swala wetu chini ya mti baada ya kuwinda mchana kutwa lakini haikupita hata saa moja wakaja samba wawili wakaleta usumbufu wa kutosha hadi wakaondoka na swala wetu wawili pia
 
Wewe nawe samba ndiyo nini?
 
Back
Top Bottom