Jomasi Member Joined Nov 30, 2014 Posts 48 Reaction score 32 Jan 13, 2017 #1 Kwanini wanawake wanatutega wenyewe kwa uvaaji wao wa nguo fupi,zakubana na zinazoonesha maungo yao wazi alafu wakitongozwa wanazingua?
Kwanini wanawake wanatutega wenyewe kwa uvaaji wao wa nguo fupi,zakubana na zinazoonesha maungo yao wazi alafu wakitongozwa wanazingua?
chinekeeee JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,787 Reaction score 2,896 Jan 13, 2017 #2 mwanamke hatongozwi anapewa hela
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Jan 13, 2017 #3 chinekeeee said: mwanamke hatongozwi anapewa hela Click to expand... Unamzungumzia mkeo na mama yako au..??
chinekeeee said: mwanamke hatongozwi anapewa hela Click to expand... Unamzungumzia mkeo na mama yako au..??
chinekeeee JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,787 Reaction score 2,896 Jan 13, 2017 #4 Ngalikihinja said: Unamzungumzia mkeo na mama yako au..?? Click to expand... namzungumzia mama yako dada yako na shangazi zako
Ngalikihinja said: Unamzungumzia mkeo na mama yako au..?? Click to expand... namzungumzia mama yako dada yako na shangazi zako
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Jan 13, 2017 #5 chinekeeee said: namzungumzia mama yako dada yako na shangazi zako Click to expand... Basi hajamuelewa mtoa mada... kasome upya....
chinekeeee said: namzungumzia mama yako dada yako na shangazi zako Click to expand... Basi hajamuelewa mtoa mada... kasome upya....
Petro Oswald JF-Expert Member Joined Aug 17, 2015 Posts 2,389 Reaction score 1,898 Jan 13, 2017 #6 chinekeeee said: namzungumzia mama yako dada yako na shangazi zako Click to expand... in somebody's voice
chinekeeee said: namzungumzia mama yako dada yako na shangazi zako Click to expand... in somebody's voice
F Friction Force Member Joined Nov 2, 2016 Posts 64 Reaction score 48 Jan 13, 2017 #7 Uwe unawatongoza na hela mkononi sio unaongea nae halafu mnaagana bila hata kumpa ya vocha,utabaki ukilalamika tu humu
Uwe unawatongoza na hela mkononi sio unaongea nae halafu mnaagana bila hata kumpa ya vocha,utabaki ukilalamika tu humu
Jomasi Member Joined Nov 30, 2014 Posts 48 Reaction score 32 Jan 13, 2017 Thread starter #8 Sipendi mwanamke anaependa hela
A alwatan yusuf JF-Expert Member Joined Nov 20, 2016 Posts 347 Reaction score 290 Jan 13, 2017 #9 Upo karne ipi tumia hela acha maneno
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,764 Reaction score 9,236 Jan 13, 2017 #10 Katika awam hii ya "hapa kazi tu" bado unatongoza tu wanawake? Wenzio akitaka mwanamke anamwambia leo nataka kazi nina 200,000/- cash twende kona bar. mnaenda unakula mzigo mnatawanyika
Katika awam hii ya "hapa kazi tu" bado unatongoza tu wanawake? Wenzio akitaka mwanamke anamwambia leo nataka kazi nina 200,000/- cash twende kona bar. mnaenda unakula mzigo mnatawanyika