P PRINCEd JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 860 Reaction score 623 Nov 6, 2019 #1 Kati ya vitu nimekuwa nikijiuliza ni kuhusu hawa wanawake tunu za taifa hili. - Samia Suluhu - Anne Makinda - Joyce Ndalichako - Anna Tibaijuka - Jenista Mhagama - Asha Rose Migiro - Esther Bulaya - Ummy Mwalimu - Tulia Atkson - Maua Daftari - Julian Shonza - Catherine Magige - Getrude Rwakatare - Getrude Mongella Je, wameolewa na kama wameolewa waume zao wako wapi na wanafanya nini? Kwanini pia hatuwaoni hata kwa bahati mbaya? Mwenye kujua samahani pia kwa uzi sina nia ya kuchunguza familia za watu.
Kati ya vitu nimekuwa nikijiuliza ni kuhusu hawa wanawake tunu za taifa hili. - Samia Suluhu - Anne Makinda - Joyce Ndalichako - Anna Tibaijuka - Jenista Mhagama - Asha Rose Migiro - Esther Bulaya - Ummy Mwalimu - Tulia Atkson - Maua Daftari - Julian Shonza - Catherine Magige - Getrude Rwakatare - Getrude Mongella Je, wameolewa na kama wameolewa waume zao wako wapi na wanafanya nini? Kwanini pia hatuwaoni hata kwa bahati mbaya? Mwenye kujua samahani pia kwa uzi sina nia ya kuchunguza familia za watu.
leroy JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 1,622 Reaction score 2,220 Nov 6, 2019 #2 Lengo lako nini hasa?
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,662 Reaction score 9,974 Nov 6, 2019 #3 ...pilipili usiyoiilaaa yakuwashia nini....Tanzania tunazidi kuhoji nani kafanya nini, kwa masilahi gani, nk. ...Mkuuu kula wali/ugali maharagwe/dagaaa songa mbeleee.....majungu yasikutawale 🙌 🙌
...pilipili usiyoiilaaa yakuwashia nini....Tanzania tunazidi kuhoji nani kafanya nini, kwa masilahi gani, nk. ...Mkuuu kula wali/ugali maharagwe/dagaaa songa mbeleee.....majungu yasikutawale 🙌 🙌
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,122 Reaction score 104,663 Nov 6, 2019 #4 Rwakatare mtoa kwenye hy list, mana amewadanganya mabinti kuwa wanaume wataletwa na upepo wa kisulisuli.
Rwakatare mtoa kwenye hy list, mana amewadanganya mabinti kuwa wanaume wataletwa na upepo wa kisulisuli.
Goddess JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 7,397 Reaction score 25,836 Nov 6, 2019 #5 Unataka kuoa?!
Niccolo Machiavelli JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,881 Reaction score 3,653 Nov 6, 2019 #6 Lovebird said: ...pilipili usiyoiilaaa yakuwashia nini....Tanzania tunazidi kuhoji nani kafanya nini, kwa masilahi gani, nk. ...Mkuuu kula wali/ugali maharagwe/dagaaa songa mbeleee.....majungu yasikutawale Click to expand... Unaweza dhani mwenzio ana tatizo kumbe wewe ndo mwenye tatizo. Yeye kauliza, kama huna jibu si ukae kimya!
Lovebird said: ...pilipili usiyoiilaaa yakuwashia nini....Tanzania tunazidi kuhoji nani kafanya nini, kwa masilahi gani, nk. ...Mkuuu kula wali/ugali maharagwe/dagaaa songa mbeleee.....majungu yasikutawale Click to expand... Unaweza dhani mwenzio ana tatizo kumbe wewe ndo mwenye tatizo. Yeye kauliza, kama huna jibu si ukae kimya!
Below 40 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 948 Reaction score 1,899 Nov 6, 2019 #7 Lovebird said: ...pilipili usiyoiilaaa yakuwashia nini....Tanzania tunazidi kuhoji nani kafanya nini, kwa masilahi gani, nk. ...Mkuuu kula wali/ugali maharagwe/dagaaa songa mbeleee.....majungu yasikutawale 🙌 🙌 Click to expand... Curiosity didn't kill the cat,ignorance did.
Lovebird said: ...pilipili usiyoiilaaa yakuwashia nini....Tanzania tunazidi kuhoji nani kafanya nini, kwa masilahi gani, nk. ...Mkuuu kula wali/ugali maharagwe/dagaaa songa mbeleee.....majungu yasikutawale 🙌 🙌 Click to expand... Curiosity didn't kill the cat,ignorance did.
Sir Khan JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 5,776 Reaction score 11,645 Nov 7, 2019 #8 Asha Rose Migiro mme wake ni Lecturer pale udsm. Am not sure if he is still there. Tulia kaolewa Anna Tibaijuka mmewe keshatangulia mbele za haki. The least known the least explained.
Asha Rose Migiro mme wake ni Lecturer pale udsm. Am not sure if he is still there. Tulia kaolewa Anna Tibaijuka mmewe keshatangulia mbele za haki. The least known the least explained.
D deo paul555 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2018 Posts 1,405 Reaction score 529 Nov 7, 2019 #9 Mhh!
Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,106 Reaction score 28,053 Nov 7, 2019 #10 Vipi unataka kuoa mkuu?
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,983 Reaction score 11,794 Nov 7, 2019 #11 Duh!! ........huyo "Hangaika" kama kaolewa amshukuru sana mume wake.
Njemba Soro. JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,282 Reaction score 7,452 Nov 7, 2019 #12 Bulaya kama bado mwambieni namtaka...
C Chifyono JF-Expert Member Joined Oct 16, 2017 Posts 921 Reaction score 1,663 Nov 7, 2019 #13 PRINCEd said: Kati ya vitu nimekuwa nikijiuliza ni kuhusu hawa wanawake tunu za taifa hili. - Samia Suluhu - Anne Makinda - Joyce Ndalichako - Anna Tibaijuka - Jenista Mhagama - Asha Rose Migiro - Esther Bulaya - Ummy Mwalimu - Tulia Atkson - Maua Daftari - Julian Shonza - Catherine Magige - Getrude Rwakatare - Getrude Mongella Je, wameolewa na kama wameolewa waume zao wako wapi na wanafanya nini? Kwanini pia hatuwaoni hata kwa bahati mbaya? Mwenye kujua samahani pia kwa uzi sina nia ya kuchunguza familia za watu. Click to expand... Katika list umewasahau Faiza fox Halima mdee Maria sarungi Fatuma karume
PRINCEd said: Kati ya vitu nimekuwa nikijiuliza ni kuhusu hawa wanawake tunu za taifa hili. - Samia Suluhu - Anne Makinda - Joyce Ndalichako - Anna Tibaijuka - Jenista Mhagama - Asha Rose Migiro - Esther Bulaya - Ummy Mwalimu - Tulia Atkson - Maua Daftari - Julian Shonza - Catherine Magige - Getrude Rwakatare - Getrude Mongella Je, wameolewa na kama wameolewa waume zao wako wapi na wanafanya nini? Kwanini pia hatuwaoni hata kwa bahati mbaya? Mwenye kujua samahani pia kwa uzi sina nia ya kuchunguza familia za watu. Click to expand... Katika list umewasahau Faiza fox Halima mdee Maria sarungi Fatuma karume
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,817 Nov 7, 2019 #14 Gertrude Mongella ,mmoja wa wanawe ndio mkuu wa Mkoa wa Mwanza!!!!
L lordchimkwese JF-Expert Member Joined Nov 16, 2015 Posts 1,912 Reaction score 3,371 Nov 7, 2019 #15 Cathy Magige namuelewa sana yule dah..
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,191 Nov 7, 2019 #16 Bulaya ana mtoto mkubwa tu anasoma form one au two.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,355 Reaction score 103,655 Nov 7, 2019 #17 Lovebird said: ...pilipili usiyoiilaaa yakuwashia nini....Tanzania tunazidi kuhoji nani kafanya nini, kwa masilahi gani, nk. ...Mkuuu kula wali/ugali maharagwe/dagaaa songa mbeleee.....majungu yasikutawale 🙌 🙌 Click to expand... Fungua wewe thread yako uhoji hayo maswali yako,mwenzio yeye kaamua kuuliza alivyouliza,hatupangiani vitu vya kuhoji.
Lovebird said: ...pilipili usiyoiilaaa yakuwashia nini....Tanzania tunazidi kuhoji nani kafanya nini, kwa masilahi gani, nk. ...Mkuuu kula wali/ugali maharagwe/dagaaa songa mbeleee.....majungu yasikutawale 🙌 🙌 Click to expand... Fungua wewe thread yako uhoji hayo maswali yako,mwenzio yeye kaamua kuuliza alivyouliza,hatupangiani vitu vya kuhoji.
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,055 Reaction score 16,509 Nov 7, 2019 #18 Savimbi Jr said: Bulaya ana mtoto mkubwa tu anasoma form one au two. Click to expand... ishu sio kuwa na mtoto,ishu ni ameolewa au hajaolewa?
Savimbi Jr said: Bulaya ana mtoto mkubwa tu anasoma form one au two. Click to expand... ishu sio kuwa na mtoto,ishu ni ameolewa au hajaolewa?
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,896 Nov 7, 2019 #19 Unataka tufuatilie na tujadili ndoa za wazee wetu? Tabia gani hiyo?
niachiemimi JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,657 Reaction score 5,410 Nov 7, 2019 #20 Getrude mongela mzee yupo Ila uzee.