Hawa wanawake siyo wema

Mhhhhhhhh mapenzi tena basi
Mkuu wanawake wa hivyo nawapenda sana, ingekuwa mimi ningejifanya mjinga na ningezidisha upendo na kumpa kila atakacho hadi akolee kabsaaa.
Wakati ambapo anakolea, lazima nimpe mechi ya hatari, nikiona amekolea kwangu na wakati ananihitaji zaidi ndipo NAKATA MAWASILIANO GHAFLA alie na kusaga meno
 
Mkuu Pole sana
Shit happens everyday they say
 
Huruma sio Upendo mkuu
 
Mapenzi yanauma sana
 
Mhhhhh mkuu hapa si kujitakia madhara mengine na kifo kabisa
 
Aisee nimecheka kama mazuri vile ,ila na nyie ilibidi baada ya huo utambulisho,mungemwambia mumeyaelewa yote aliyaongea. na hyo 5000 usingempa ,shame on her.unamsemaje mtu mbele yake wkt hizi lugha zetu za kibantu zinamuingiliano wa maneno, obvious utaelewa tu baadhi ya maneno . Suzy umezingua [emoji379]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…