The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,193 Reaction score 22,202 May 16, 2025 #1 GT. Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake? Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote
GT. Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake? Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 May 16, 2025 #2 Watarudi kugombea October
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,193 Reaction score 22,202 May 16, 2025 Thread starter #3 johnthebaptist said: Watarudi kugombea October Click to expand... Project ya CCM hii. Da ila mzee wa ubwabwa kawaua huko kwa odemba
johnthebaptist said: Watarudi kugombea October Click to expand... Project ya CCM hii. Da ila mzee wa ubwabwa kawaua huko kwa odemba
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,096 Reaction score 75,541 May 16, 2025 #4 The Burning Spear said: GT. Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake? Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote Click to expand... Hayo ni maigizo tu ili waendelee kula hela ya CCM
The Burning Spear said: GT. Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake? Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote Click to expand... Hayo ni maigizo tu ili waendelee kula hela ya CCM
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 22,991 Reaction score 29,220 May 16, 2025 #5 The Burning Spear said: GT. Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake? Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote Click to expand... Ni uongo tuu, hakuna aiyehama chadema hata mmoja! Ni uzushi wa CCM tuu.
The Burning Spear said: GT. Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake? Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote Click to expand... Ni uongo tuu, hakuna aiyehama chadema hata mmoja! Ni uzushi wa CCM tuu.
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,044 May 16, 2025 #6 Watafanya michezo kama ya dr.slaa kuwa hakukabidhi kadi kwa hiyo watarejea siumeona hata juzi bwana komu karejea,siasa ni mchezo mchafu
Watafanya michezo kama ya dr.slaa kuwa hakukabidhi kadi kwa hiyo watarejea siumeona hata juzi bwana komu karejea,siasa ni mchezo mchafu
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,449 Reaction score 25,209 May 16, 2025 #7 Yerico nyerere anasema atarejea chama kikirudi kwa wanachama. Mpumbavu kabisa. Yaani wanachama wachague uongozi kisa ALPHA NA OMEGA. Hajachaguliwa wewe hutaki kukubaliana nao???
Yerico nyerere anasema atarejea chama kikirudi kwa wanachama. Mpumbavu kabisa. Yaani wanachama wachague uongozi kisa ALPHA NA OMEGA. Hajachaguliwa wewe hutaki kukubaliana nao???
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 42,525 Reaction score 74,574 May 16, 2025 #8 The Burning Spear said: GT. Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake? Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote Click to expand... WAnasubiri upepo upite kwanza.....ccm hakuaminiki
The Burning Spear said: GT. Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake? Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote Click to expand... WAnasubiri upepo upite kwanza.....ccm hakuaminiki