Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,844
- 40,481
Kamdanganye mkeo wakati ukweli unaujua majeshi kwa sasa ni matawi ya ccmWanaujua ukweli kuwa vyama vya upinzani vinamilikiwa na watu binafsi. Hakuna mjeda anapenda kuwa chini ya raia uraiani.
Kamdanganye mkeo wakati ukweli unaujua majeshi kwa sasa ni matawi ya ccmWanaujua ukweli kuwa vyama vya upinzani vinamilikiwa na watu binafsi. Hakuna mjeda anapenda kuwa chini ya raia uraiani.
Ndugu kumbuka Makame Rashid na Brigedia mstaafu Hassan Ngwilizi waliingia kwenye siasa baada ya mfumo wa vyama vingi na kuamua kuachana na jeshi kwa kustaafu kwa hiari ili kuingia kwenye siasa kama alivyofanya marehemu Captain Damian Komba!1. Omary Mahita
2. Alfred Tibaigana!
3. Makame Rashid
4. Hassan Ngwilizi
5. Adadi Rajab
6. Robert Mboma
Hawa ni ambao nimewekumbuka. Jee ni salama zaidi kuwa CCM kuliko chama kingine ukitoka kwenye utumishi wa Jeshi?
Siyo kosa kwa wanajeshi wastaafu kugombea nafasi yoyote ile ya kisiasa baada ya kustaafu utumishi wao wa jeshi!
Unafikiri hao waliotajwa ni wa sasa? Kwanza acha kuhusisha majeshi na mambo ya vyama.Kamdanganye mkeo wakati ukweli unaujua majeshi kwa sasa ni matawi ya ccm
Komando wa zanzibar salmin amour nae vipi mkuu!Kwa nini hawakupitia CUF tueleze? Kwa sababu hawakutaka fujo? Na CHADEMA je? Labda hawapendi matusi. Umesahau IGP Omari Ngunguri alipougua uti walitaka aende Nairobi kutibiwa akakataa, si akaja kuponea Muhimbili tu? Ni uzalendo ....
Acha kutudanganya, hivi ni kama mtume Mohamed na uwislam au Yesu na ukristo havitengani.Unafikiri hao waliotajwa ni wa sasa? Kwanza acha kuhusisha majeshi na mambo ya vyama.
Hajawahi kugombeaUbunge ili akalinde mali zake alizoiba