Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,925
- 51,009
Kwa nini hawakupitia CUF tueleze? Kwa sababu hawakutaka fujo? Na CHADEMA je? Labda hawapendi matusi. Umesahau IGP Omari Ngunguri alipougua uti walitaka aende Nairobi kutibiwa akakataa, si akaja kuponea Muhimbili tu? Ni uzalendo ....1. Omary Mahita
2. Alfred Tibaigana!
3. Makame Rashid
4. Hassan Ngwilizi
5. Adadi Rajab
6. Robert Mboma
Hawa ni ambao nimewekumbuka. Jee ni salama zaidi kuwa CCM kuliko chama kingine ukitoka kwenye utumishi wa Jeshi?
Siyo kosa kwa wanajeshi wastaafu kugombea nafasi yoyote ile ya kisiasa baada ya kustaafu utumishi wao wa jeshi!
Wanaujua ukweli kuwa vyama vya upinzani vinamilikiwa na watu binafsi. Hakuna mjeda anapenda kuwa chini ya raia uraiani.1. Omary Mahita
2. Alfred Tibaigana!
3. Makame Rashid
4. Hassan Ngwilizi
5. Adadi Rajab
6. Robert Mboma
Hawa ni ambao nimewekumbuka. Jee ni salama zaidi kuwa CCM kuliko chama kingine ukitoka kwenye utumishi wa Jeshi?
Siyo kosa kwa wanajeshi wastaafu kugombea nafasi yoyote ile ya kisiasa baada ya kustaafu utumishi wao wa jeshi!
Iko siku watajiunga na hivyo vyama ndo utacheka ulie....Kwa nini hawakupitia CUF tueleze? Kwa sababu hawakutaka fujo? Na CHADEMA je? Labda hawapendi matusi. Umesahau IGP Omari Ngunguri alipougua uti walitaka aende Nairobi kutibiwa akakataa, si akaja kuponea Muhimbili tu? Ni uzalendo ....
Unamfahamu Wandwi?Kwa nini hawakupitia CUF tueleze? Kwa sababu hawakutaka fujo? Na CHADEMA je? Labda hawapendi matusi. Umesahau IGP Omari Ngunguri alipougua uti walitaka aende Nairobi kutibiwa akakataa, si akaja kuponea Muhimbili tu? Ni uzalendo ....
Hawa nzi wa kijani hawana kumbukumbu.Unamfahamu Wandwi?
Kwa kifupi polisi ni kitengo cha ccm kama Uvccm au UWTSijaelewa maudhui bado...
1. Omary Mahita
2. Alfred Tibaigana!
3. Makame Rashid
4. Hassan Ngwilizi
5. Adadi Rajab
6. Robert Mboma
Hawa ni ambao nimewekumbuka. Jee ni salama zaidi kuwa CCM kuliko chama kingine ukitoka kwenye utumishi wa Jeshi?
Siyo kosa kwa wanajeshi wastaafu kugombea nafasi yoyote ile ya kisiasa baada ya kustaafu utumishi wao wa jeshi!
Hutaelewa! Kwasababu huko CCM wenye akili ni bidhaa adimu sanaSijaelewa maudhui bado...
Leo uneongea ukweli, CCM ni chama dola, bila hivyo ni wepesi kama tissue!CCM ni Chama Dola!
Huyo Ngunguri aligombea wadhifa gani
Kwani CCM inamilikiwa na jeshi unaposema hakuna mjeda anayependa kuwa chini ya raia? Hivi hujui kwamba hao wastaafu wakifanya makosa watapelekwa kwenye mahakama za kawaida na wala siyo jeshini? Kazi ya jeshi walishastaafu ndio maana wako huru kuendelea na siasa kama raia wa kawaida.Wanaujua ukweli kuwa vyama vya upinzani vinamilikiwa na watu binafsi. Hakuna mjeda anapenda kuwa chini ya raia uraiani.
Aligombea Ubunge.Huyo Ngunguri aligombea wadhifa gani
Kwa nini hawakupitia CUF tueleze? Kwa sababu hawakutaka fujo? Na CHADEMA je? Labda hawapendi matusi. Umesahau IGP Omari Ngunguri alipougua uti walitaka aende Nairobi kutibiwa akakataa, si akaja kuponea Muhimbili tu? Ni uzalendo ....
Aisee! Kumbe askari akiwa CCM anakuwa malaika.....!!!! Kidumu chama cha mapinduzi.Kamishna Mustafa wandwi alijiunga na kafu
Kuna tetesi wapo wanajeshi na polisi wastaafu huko zanzibar walijiunga kafu wakaanza kuwafundisha kuunda mabomu ya kienyeji na kuua wakristo na mapdri,lakini walisambaratishwa wote.
Ni hatari sana kwa askari kujiunga na upinzani kwa sababu ni rahisi sana kugeuzwa shetani kuliko akijiunga na ccm