Hawa wake zetu ni shida

Hawa wake zetu ni shida

Kimtokacho mtu, ndicho kilichojaza nafsi yake.
 
Tuvumilieni tu,
Nashukuru jirani yangu ananivumilia
Watoto wengi ni shida sana
Ukimwambia hichi atafanya kile
Ukimkataza kile atafanya hichi,

Ukiwa mama ambae unajali kila hatua ya mwanao lolote laweza kutokea
Ndiyo maana wengine wanawasukumia housemaids
 
Back
Top Bottom