Hawa wajita ni watu hatari saana!

Hawa wajita ni watu hatari saana!

Moony

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
1,599
Reaction score
436
Haya majamaa akina yego watu hatari sana kwani wameweza kuwa influence NOKIA ambao wametoa simu yenye lugha ya KIJITA.
Sijui wamewezaje lakini habari ndiyo hiyo. Katika machache niliyoweza kuelewa ni kama haya:-

Phonebook ECHITABHO
Menu AMAGAMBO
names/contacts AMASINA
Time OMWANYA
Ringtone LILILILO
Settings OMWINYANJO
Call BHUMA
Received calls JILAMIBHWE
Missed calls ITALAMILWA
Games OBHWENYWA
Vibration INYEGHENYHO

tunaomba mzidi kututafsiria mengine! chezeya furu weye!!!
 
Lugha ya kijita inashea maneno mengi na kinyarwanda (tutsi/hutu) language, sijui kuna uhusiano gani hapa.
 
yameshakuwa haya majamaaa mara hii?Haya bwana.Lakn mbona hata wahaya imesha tick..Haujaiona mkuu?in few mention ni kama ifuatavyo😛honebook(Ekitabo kye simu),Names(Amabala)Time (Izoba)Menu(Ebilimu)Vibration(Emichundaiguko)n.k.Ulimwengu wa dijito mkuu.Hao wahaya usiwaite Hayo ma mijamaaaaaaa labda kama wwe ni murhaa,mha na sampo za namna
 
okubhea mumenyela go, bhuli chinu omchakachua. mbe nikokutyo, abhajita abhaja okwidai (okwigega mno) si ubhamenyele kutyo abhegega?
 
Hata Lugha ya Kigogo imewekwa kwenye NOKIA
  • Phone book
    • Chitabu che Simu
  • Names
    • Matagwa
  • Time
    • Mapango
  • Ringtone
    • Mlilo
  • Settings
    • Kubidula
  • Calls
    • Towee
  • Missed call
    • Wono Wakulondola
  • Received Call
    • Wono Wakutowela
  • Dilled Call
    • Wono Kuwatowela
  • Game
    • Midawalo
  • Menu
    • Chitanjilo
  • Vibration
    • Mchichimo
Sasa hiyo ndiyo Digital na TV za kwenye simu zinakuja sijui watakubali kuziita Chilole?
 
Haya majamaa akina yego watu hatari sana kwani wameweza kuwa influence NOKIA ambao wametoa simu yenye lugha ya KIJITA.
Sijui wamewezaje lakini habari ndiyo hiyo. Katika machache niliyoweza kuelewa ni kama haya:-

Phonebook ECHITABHO
Menu AMAGAMBO
names/contacts AMASINA
Time OMWANYA
Ringtone LILILILO
Settings OMWINYANJO
Call BHUMA
Received calls JILAMIBHWE
Missed calls ITALAMILWA
Games OBHWENYWA
Vibration INYEGHENYHO

tunaomba mzidi kututafsiria mengine! chezeya furu weye!!!
Message INYARUBHA
 
Back
Top Bottom