Hawa Wahaya wa Growing up African wanaboa...

Potration ya Watanzania wanaoishi nje????I DON‘T THINK SO!!!Wanachoonyesha ni familia yao inavyoishi Marekani na sio Watanzania waishivyo Marekani!!

Tena sidhani kama wanaonyesha wanavyoishi, bali wanaigiza wanavyoishi...
 
Mhhhh!! unamaanisha kipindi hiki kitadili na familia moja ya kabila moja Tanzania? mbona sasa kinasomeka 'Watanzania waishio nje(Marekani)'? Kama ndivyo,sasa pale EATV wamevutiwa na nini kutumia mda wao mwingi kulenga familia moja ya kabila moja ingali huko ughaibuni kuna familia nyingi tu?Je, yawezekana uongozi wa EATV ukawa na affiriation na familia hiyo?nywy itafahamika!
 
Kwani wanaonyesha maisha ya watu tofauti tofauti au familia moja tu?!Binafsi sihmjawahi kuangalia ila niliona wakikitangaza mabloguni...sasa kama niko sahihi familia moja itawakilishaje Watanzania waishio nje wakati maisha yao yanatofautiana?!Labda kama wangetafuta na nyingine mbili tatu zenye maisha na mtazamo tofauti ndo wangekua wanawakilisha makundi kadhaa!!
 
Potration ya Watanzania wanaoishi nje????I DON‘T THINK SO!!!Wanachoonyesha ni familia yao inavyoishi Marekani na sio Watanzania waishivyo Marekani!!

umenichanganya eti ni familia inayoish marekani sio watanzania?.hii ishu huiju ndugu,kwani tangazo lao kilasiku chanel 5 linasema'fatilia maisha ya familia ya kitanzania inayoishi majuu' mwisho wa kunukuu.tatzo lako unaangalia TBC. Vipind kama fatak la leo,zamadam na chereko.
 
Mi mwenyewe Mhaya, ila Wahaya wengi ni washenzi na wanapenda sifa za kijinga.

ni marufuku kuchangia ukiwa umelewa kwa kilevi chochote hasahasa hiv unavyo pendelea: bangi,milungu na gongo ya mihogo.umesikia we mshenzi!!
 
Back
Top Bottom