Hawa Wahaya wa Growing up African wanaboa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Wahaya wa Growing up African wanaboa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuko, Jun 3, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Yan wameamua kuuza sura tu kwenye hii EATV, kipindi chao hakina maana, hakina ujumbe wala hakifurahishi. Yan kila mtu analalamika hawa watu kupewa mda wa kupotezea watu kwenye hii tv kipenz kwa vijana.
   
 2. R

  Ramos JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwe aisee
  Hawa wanaonyesha ule Uhaya hasa tena wa kizamani
  Kitendo cha kulipia kipindi kwenye TV kutuonyesha magari yao na wanavyokunywa wine, mi naona ni ulimbukeni sana,na nakuchukia hicho kipindi balaa...
   
 3. Mwendawazimu2

  Mwendawazimu2 Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmeonaee?

  Halafu huwa hawaonyeshi wanafanya kazi gani! Wale wasichana kuna mwenye sura naifananisha na mcheza filamu chafu mmoja...
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ukiona kazi kufanya kufanya kazi, acha kazi uone kazi...
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  switch to another channel
   
 6. Mwendawazimu2

  Mwendawazimu2 Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sure. But I have to tell it before they chase from my favorite channel...
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Jamani ndo mnaonyeshwa maisha ya mamtoni....hamtaki????
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Unaifananisha?kwa maana hiyo wewe ni muangaliaji mzuri wa hizo filamu?
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,258
  Likes Received: 21,960
  Trophy Points: 280
  Mi mwenyewe Mhaya, ila Wahaya wengi ni washenzi na wanapenda sifa za kijinga.
   
 10. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Ila kweli. Unajua sisi ambao hata Dar tunaiona kwenye TV, tulidhani mamtoni watu hawanywi juisi...
  Tuwashukuru labda wanatu -expose...
   
 11. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,070
  Trophy Points: 280
  lakini EATV haimilikiwi na wahaya! ...ila kama EATV wanavyosema, hiki ni kipindi cha kwanza (reality tv show) kuonyeshwa hapa kwetu na isje ikawa kuwa tunataka design za akina Kanumba au Masanja ambazo ni tofauti na hii.
  Pia ina 'duration', labda itafika sehemu 'itachanganya'.
  Nawashauri (nami naweza kuwa mmojawapo) wasioipenda hiyo program wawaulize EATV kwanza maana inaweza kuwa inachuchukua miaka mitatu au zaidi (kama Isidingo) na huu ni mwazno tu
   
 12. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hicho kipindi kinarushwa saa ngapi??
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  Absolutely.............
   
 14. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  sasa wewe badala ya kujadili kile kipindi unajadili wahaya hata wasiojua chanel 5 ni nini.
   
 15. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #15
  Jun 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Reality TV shows at least zinakuwa na theme fulani. Zinaonyesha aina fulani ya maisha wanayoishi watu fulani.
  Hii growing up African haina mbele wala nyuma. Haina mtiririko wa matukio wala haieleweki nini wanataka ku-potray. Sauti hazisikiki na hakuna hata tukio la maana linaloonyeshwa...
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Jamani mnataka theme gani nyingine wakati jina tu linajieleza??!“Wabongo ndani ya Marekani..tunaendesha gari na kunywa wine wakati nyie bongo mnatuangalia mkiwa mmekalia vumbi.“ Wanataka mjue kwamba wanakula maisha!!
   
 17. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #17
  Jun 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Hahahaa... Haya bana nimekusomaa..
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Jun 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Kipindi hakina maana kabisa kile.....
   
 19. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Kwani hapa Tanzania ni Tv gani ina vipindi vyoote vinakupendeza ww,unaona fahari gani kwa mfano pale unapoangalia TV zetu zaidi ya masaa10 wanaonesha muvi tu kwani hamna mambo ya maana tukaoneshwa?tena kibaya zaidi ni zile za akina nanii wakishindana kuonesha uchi wao,zingine zinarudiwa hata mara3

  kile kipindi si movie wala filamu,ni (documentary)aina ya narrative story inayoonesha jinsi waafrika wanavyoishi,binafsi nimewahi kuona wakitumia hata vessels zao za kienyeji,wanacheza na kusikiliza miziki ya Afrika n.k lakini pia jinsi wanavyojifunza kuishi kama wenzao

  kwa maana maisha ni utamaduni na ni intaractive,hvyo kuna baadhi ya mambo wataadopt ili kubalansi maisha,sasa usitegemee wala usiwe unaangali hcho kipindi kama vile unaangalia filamu za bongo muvi

  Elewa hapa hawapotray wahaya,hapa ni potration ya watanzania wanaoishi nje maana leo ni hawa na kesho wale na kesho kutwa ni wengine,sasa kama hautaki tuoneshwe watanzania wa nje hiyo ni ishu nyingine
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Potration ya Watanzania wanaoishi nje????I DON‘T THINK SO!!!Wanachoonyesha ni familia yao inavyoishi Marekani na sio Watanzania waishivyo Marekani!!
   
Loading...