Pesa wanapata wakenya kupitia mgongo wenu nyie kazi yenu kubwa kupiga vigelegele na kulamba miguu kama mnavyofanya hapo lumumba.
Endeleeni kujipendekeza tuu
kwa taarifa yako ni kuwa wengi wa hao wageni wala hawatembelei hifadhi ya serengeti. wanaenda kwenye hotel iitwayo singita ambayo iko kwenye kijiji cha nattambiso kinachopakana na pori la akiba la ikorongo. hata utalii wanafanyia kwenye eneo la pori la akiba la ikorongo/grumet ambalo mwekezaji mwenye hiyo hoteli ana vitalu vya uwindaji. Tatizo waandishi wetu huwa hawajishughulishi kujua ukweli wa mamboSasa hivi kuna wimbi la wageni maarufu wanaokuja kutembelea Serengeti yetu na kwingineko, sasa swali langu ni je kuna hela yoyote ya maana inabakia hapa nchini kwetu au ndiyo hivyo kila kitu kimeshalipiwa Ulaya kwa wamiliki wa mahoteli wanakuja kulala na kuburudika halafu kusepa?
Nauliza hivi isije kuwa tunapiga vigele gele kama tulivyozoea na kutaja majina makubwa yamekuja kwetu lkn kiuhalisia hawakutumia hata Shilingi hapa Bongo!
Hivyo ningependa Serikali kama ikiwezekana iseme ni kiasi gani huwa hawa watu wanaacha hapa TZ ili tujue kama inalipa au la, kwa maana wakati mwingine utakuta wanakuja na ndege za kukodi tax free, wanalala kwenye Hoteli zinazomilikiwa na Wazungu ambapo imeshalipiwa huko huko Ulaya, na kiasi kidogo sana ndiyo kinabakia hapa nyumbani, ...
Mchezaji wa A.Madridi akiwa Serengeti, kama huyu kaacha kiasi Bongo?
kwa taarifa yako ni kuwa wengi wa hao wageni wala hawatembelei hifadhi ya serengeti. wanaenda kwenye hotel iitwayo singita ambayo iko kwenye kijiji cha nattambiso kinachopakana na pori la akiba la ikorongo. hata utalii wanafanyia kwenye eneo la pori la akiba la ikorongo/grumet ambalo mwekezaji mwenye hiyo hoteli ana vitalu vya uwindaji. Tatizo waandishi wetu huwa hawajishughulishi kujua ukweli wa mambo
kwa taarifa yako, asilimia zaidi ya 85 ya pesa ya utalii inabaki huko majuu kwani wengi wa wamiliki wa kampuni za utalii ni watasha, hiyo chache iliyobaki ndio hio tunagawana kwa kulipwa mishahara, mafuta ya magari, chakula cha wageni na kodi kidogo ya serikaliAsante kwa usahihisho. Je, vipi kuhusu nilichouliza unafikiri hiyo fedha inabakia hapa Tanzania yaani fedha wanayolipia hoteli, kuangalia wanyama, vinywaji n.k. au kila kitu wanalipia kwao huko Ulaya halafu sisi tunapiga vigelegele kutoana ngeo na Wakenya na kushangilia tu kwamba Obama kaja kwetu kutalii?
kwa taarifa yako, asilimia zaidi ya 85 ya pesa ya utalii inabaki huko majuu kwani wengi wa wamiliki wa kampuni za utalii ni watasha, hiyo chache iliyobaki ndio hio tunagawana kwa kulipwa mishahara, mafuta ya magari, chakula cha wageni na kodi kidogo ya serikali
huo ndio ukweli japo mchunguAsante sana ndugu kwa hilo, kwa maana nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, tunashangilia hapa kwamba sijui Bill Gates, Obama katua TZ kutalii lkn binafsi nilikuwa na wasiwasi sana kama kweli wanaacha hela ndefu hapa kwetu.
Mtu kama huyu Bill Gates badala ya kutuletea vyandarua vya mbu ilipaswa tumkamue hapo anapokuja kutalii siyo kila kitu analipia kwao halafu sisi tunabakia kumchezea ngoma na kutambiana na Wakenya.
Bado tuna safari ndefu sana.
Kwani hotelini wanakaa bure?
Sijawahi kuelewa kwa nini watu wapo negative kiasi hiki.. basi tu yani mtu yupo so negative kila kitu kwake kibaya.. cha wenzie kibaya hata cha kwake kibaya.
Hizo hoteli wanazolala zinalipa fees za kuwemo ndani ya hifadhi, zinalipa kodi maana zimesajiliwa Tanzania (huwezi kuwa na hoteli Tanzania ukaisajilia Rwanda), watalii wote wanalipa gate fees, wanalipa conservation fees.
Kampuni za tours zimeajiri waTanzania, wanalipwa mishahara na zenyewe zinalipa kodi na stahiki nyinginezo n.k
Hata kama hamna hela inayobaki TZ utabadilisha nini..
Umekusudia kuacha hela kivipi? Nipo kwenye utalii naweza kukufahamisha ikiwa utanielewesha umemaanisha nini kabla sijajibu kwa mujibu wa nlivolifahamu suali lako.
Mimi nimefahamu kuwa umekusudia kuacha pesa inayokwenda serikalini au sivyo?
Sijamaanisha wewe kuna hao waliokujibu hapo juu ambao hawapendi kufikirisha akili zaoHakuna ambaye yuko negative, bali ninapenda kufahamu kinachoendelea na kujifunza tangia lini kutaka kujifunza imekuwa negative?
Mkuu mimi uzi zingine nashindwa hata kukomenti watu wengine ni economically ignorant....hawezi kuelewa economic cycle hata ufanye je..... darasa la saba hamnaga somo la uchumi, kuna kuhesabu kujumlisha na kuzidisha tu.Sijawahi kuelewa kwa nini watu wapo negative kiasi hiki.. basi tu yani mtu yupo so negative kila kitu kwake kibaya.. cha wenzie kibaya hata cha kwake kibaya.
Hizo hoteli wanazolala zinalipa fees za kuwemo ndani ya hifadhi, zinalipa kodi maana zimesajiliwa Tanzania (huwezi kuwa na hoteli Tanzania ukaisajilia Rwanda), watalii wote wanalipa gate fees, wanalipa conservation fees.
Kampuni za tours zimeajiri waTanzania, wanalipwa mishahara na zenyewe zinalipa kodi na stahiki nyinginezo n.k
Hata kama hamna hela inayobaki TZ utabadilisha nini..
Ngoja nikupe mfano mrahisi..Nilipenda kujua jinsi ambavyo tunanufaika na hawa wageni wakubwa na matajiri wanaotembelea TZ yetu kwenye utalii hasa kwenye eneo la fedha, yaani ni jinsi gani tunaingiza fedha ktk kwao?