Hawa wafukuzwe Yanga SC haraka sana

Hawa wafukuzwe Yanga SC haraka sana

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
1,413
Reaction score
5,150
Mwamnyeto
huyu uwezo wake umeshuka sana, limekuwa beki la hovyo mnoo..hili pazia likicheza watu wanafinya mbupu mwanzo mwisho..Lifukuzwe

Ikangalombo
Wakati mwingine sio lazima timu iwe nawachezaji wote 12 wakigeni , niheri kutosajili kabisa ikiwa hakuna mchezaji wa maana sokoni ..hili jamaa hakuna kitu ,kwanza livivu mnoo ,linasubiri lipate mpira likimbie hovyo ..Lifukuzwe Mbadala : kipre jr kwa mkopo (Mc Alger)

Musonda
Huyu katika baadhi ya matukio ameisaidia timu , ila hana muendelezo wa kiwango kizuri .mazuri aliyoyafanya yanatosha..Afukuzwe
Mbadala: Jonathan sowah (singida bs)

Kibabage
Huyu ni beki wa pembeni wa hovyo kuwahi kucheza Yanga , sio mzuri kupiga cross za mwisho mbali namaspidi yake yasiokuwa na faida ,lakini ni uchochoro sana kwenye kuzuia .aina hii ya mchezaji hastahili kuvaa jezi ya Yanga sc.
Afukuzwe
Mbadala :Msindo pascal (Azam)

AZIZ KI
Hapa najua wana Yanga sc wengi mtanipinga , ila yapasa kusema alichotufanyia Aziz ki kinatosha na Niwakati sahihi wakuachana nae, huyu ameshakuwa na mambo mengi nje ya uwanja na ameshafikia peak yake ya ubora , kinachofuata nikuanza kushuka kwa graph yake kiuchezaji , Yanga imuuze huyu hivi sasa ikiwa bado mapema ili kupunguza mzigo wa mshahara wake lakini pia kuingia sokoni kupata wachezaji wenye njaa zaidi..AFUKUZWE
mbadala : Feisal salam (Azam)

DUKE Abuya
Ni mchezaji mwenye mapafu ya mbwa ,lakini mwenye zao la mwisho baya Mno uwanjani , passing ability yake ni mbovu ,hajui wakati sahihi wakupiga pasi au kushoot .AFUKUZWE
mbadala : Arthur Bada (singida bs)
 
Ongezea na Injinia

Huyu alituahidi kutujengea uwanja tangu 2022, ila mpaka sasa tumeambulia supu chapati mbili na kuishia makundi
AFIKISHWE MAHAKAMA YA THE HAGUE.
Mbadala wake: CPA (T) Mzee Magoma
 
Kolo ukiwa kwenye ubora wa Hali ya juu
 
Arthur jamaa anajua
Anyway nadhani hayo mabadiliko yanakuja ikangalombo tabora itamfaa ila hapo boka asibaki
 
Mwamnyeto hapana, ni Captain wa heshima sana katika timu yetu amechukua mataji mengi mno na tumepata mafanikio yéyé akiwa Captain,
Hao wengine ni Sawa tuu, Kama huyo Kibabage aisee mapema sana atoke
 
Mwamnyeto na Kibabage kwa sasa ni zero bin sifuri kabisa hapo Yanga, yaani Musonda nae kama center bolt imekata, Aziz Ki kashalewa uroda wa Hamisa, hao wote Yanga ifunge macho iwatoe haraka kabisa
 
Mkude,Aziz andakambiwe sijui, Farid mussa, sureboy wanabaki kufanya nini

Yanga Ina bahati beki za kati hazipati majeraha, Hawana beki za kati kabisa alafu unataka mwamnyeto aondoke
 
El captano leo anasagiwa kunguni kwamba "Lifukuzwe" 😁

Maisha ya soccer bhana, hawa wachezaji wanatakiwa kutengeneza mazingira ya kupiga pesa ndefu sana hivi vilabu wanapokuwa kwenye Peak maana wakidrop tu wanakuwaga hawana jipya tena
 
Hizi timu zetu hazijawahi kuwa na heshima kabisa na wachezaji waliozipania timu katika nyakati nzuri na mbaya.

Inahitaji kuwa na chembechembe za Ushabiki maandazi kuja na statement kama hii "Mwamnyeto afukuzwe". Sisemi abaki but dude you can come up with something better than that.
Ondoa kiingereza uchwala hapa. Aachwe ilhali amekuwa akiighalimu timu Kila wakati .heshima ya mpira inakuja ikiwa mchezaji ama timu itatambua kuwa huu ni mchezo wa nyakati na umri , na mpira nikazi hakuna anaeisaidia Yanga ,wote niwaaijiriwa na wanalipwa mshahara kutekeleza majukumu Yao ..wanaposhindwa wanawajibishwa kwa kuondoshwa
 
Mwamnyeto
huyu uwezo wake umeshuka sana, limekuwa beki la hovyo mnoo..hili pazia likicheza watu wanafinya mbupu mwanzo mwisho..Lifukuzwe

Ikangalombo
Wakati mwingine sio lazima timu iwe nawachezaji wote 12 wakigeni , niheri kutosajili kabisa ikiwa hakuna mchezaji wa maana sokoni ..hili jamaa hakuna kitu ,kwanza livivu mnoo ,linasubiri lipate mpira likimbie hovyo ..Lifukuzwe Mbadala : kipre jr kwa mkopo (Mc Alger)

Musonda
Huyu katika baadhi ya matukio ameisaidia timu , ila hana muendelezo wa kiwango kizuri .mazuri aliyoyafanya yanatosha..Afukuzwe
Mbadala: Jonathan sowah (singida bs)

Kibabage
Huyu ni beki wa pembeni wa hovyo kuwahi kucheza Yanga , sio mzuri kupiga cross za mwisho mbali namaspidi yake yasiokuwa na faida ,lakini ni uchochoro sana kwenye kuzuia .aina hii ya mchezaji hastahili kuvaa jezi ya Yanga sc.
Afukuzwe
Mbadala :Msindo pascal (Azam)

AZIZ KI
Hapa najua wana Yanga sc wengi mtanipinga , ila yapasa kusema alichotufanyia Aziz ki kinatosha na Niwakati sahihi wakuachana nae, huyu ameshakuwa na mambo mengi nje ya uwanja na ameshafikia peak yake ya ubora , kinachofuata nikuanza kushuka kwa graph yake kiuchezaji , Yanga imuuze huyu hivi sasa ikiwa bado mapema ili kupunguza mzigo wa mshahara wake lakini pia kuingia sokoni kupata wachezaji wenye njaa zaidi..AFUKUZWE
mbadala : Feisal salam (Azam)

DUKE Abuya
Ni mchezaji mwenye mapafu ya mbwa ,lakini mwenye zao la mwisho baya Mno uwanjani , passing ability yake ni mbovu ,hajui wakati sahihi wakupiga pasi au kushoot .AFUKUZWE
mbadala : Arthur Bada (singida bs)
Kwa Ikangalombo kama waliangalia mbio bora wamrudishe Nchimbi maana hawana tofauti tena Nchimbi alikuwa bora kuliko hili jamaa vivu
 
Back
Top Bottom