Mwamnyeto
huyu uwezo wake umeshuka sana, limekuwa beki la hovyo mnoo..hili pazia likicheza watu wanafinya mbupu mwanzo mwisho..Lifukuzwe
Ikangalombo
Wakati mwingine sio lazima timu iwe nawachezaji wote 12 wakigeni , niheri kutosajili kabisa ikiwa hakuna mchezaji wa maana sokoni ..hili jamaa hakuna kitu ,kwanza livivu mnoo ,linasubiri lipate mpira likimbie hovyo ..Lifukuzwe Mbadala : kipre jr kwa mkopo (Mc Alger)
Musonda
Huyu katika baadhi ya matukio ameisaidia timu , ila hana muendelezo wa kiwango kizuri .mazuri aliyoyafanya yanatosha..Afukuzwe
Mbadala: Jonathan sowah (singida bs)
Kibabage
Huyu ni beki wa pembeni wa hovyo kuwahi kucheza Yanga , sio mzuri kupiga cross za mwisho mbali namaspidi yake yasiokuwa na faida ,lakini ni uchochoro sana kwenye kuzuia .aina hii ya mchezaji hastahili kuvaa jezi ya Yanga sc.
Afukuzwe
Mbadala :Msindo pascal (Azam)
AZIZ KI
Hapa najua wana Yanga sc wengi mtanipinga , ila yapasa kusema alichotufanyia Aziz ki kinatosha na Niwakati sahihi wakuachana nae, huyu ameshakuwa na mambo mengi nje ya uwanja na ameshafikia peak yake ya ubora , kinachofuata nikuanza kushuka kwa graph yake kiuchezaji , Yanga imuuze huyu hivi sasa ikiwa bado mapema ili kupunguza mzigo wa mshahara wake lakini pia kuingia sokoni kupata wachezaji wenye njaa zaidi..AFUKUZWE
mbadala : Feisal salam (Azam)
DUKE Abuya
Ni mchezaji mwenye mapafu ya mbwa ,lakini mwenye zao la mwisho baya Mno uwanjani , passing ability yake ni mbovu ,hajui wakati sahihi wakupiga pasi au kushoot .AFUKUZWE
mbadala : Arthur Bada (singida bs)