Zamani walikuwepo kwa sasa dar hakuna,wapo wale jongoo wadogodogo tu
Jongoo wenye pesa ni barango,spinyo, jongoo maji
Ila hao jongoo wa mln 20 mhh
Nimeongelea hii kutokana na uzoefu wa wa kuwavua huko mafia kipindi cha nyuma na upatikanaji wake ule mgumu
Ova