Mademu wa mitandaoni mfano
- jamii forum
-Snapchat
- Badoo
Twitter and others social network kiukweli sio wasuuupu/ wakali / pini/ mashine kuliko hawa tunaokutana nao live kabisa mitaani na maeneo mengine ,,,,mitaani Kuna totoz Kali balaa hili nimeliona kabisa ,aseeee hatari
Hawa wa mitandaoni ni kuji- beautify tu nothing else ,kabisaa
Je unkubaliana na Mimi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Dondosha comment hapa [emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna tofauti gani kati ya hao unaowaita wa mitaani na hao wa mitandaoni? Mbona ni wale wale tuu?
Jr[emoji769]
We mzee nakuheshimu Sana binti wa kike aliyoko zake nyumbu pale mfano ni sawa na mijiyanawake ya sinza,mwenge ,magomeni ?kwanza wengi wa mitandaoni wanaji- beautify ili wapendwe zaidi manake wanakuwa public ,,ohooo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ukweli ila utatukamwa. Kuwa mvumilivu.Mademu wa mitandaoni mfano