Hawa Vodacom wanatupeleka wapi?

Hawa Vodacom wanatupeleka wapi?

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
443
Vodacom wanaturudisha nyuma tena badala ya kutusongesha mbele, cheka bombastiki ya sh 500 wanatoa dakika 20 za kupiga voda kwenda voda na SEKUNDE 50 TU KUPIGA MITANDAO MINGINE, JE HUKU SIYO KUTURUDISHA NYUMA?
 
.
nyuma tutazidi tu kurud,
na kwa mitandao yetu ilivyo na akili nying KUNA MINGNE ITA IGA TU
.
Wanacho ni udhi ni NIGHT niki2ma SMS INAKAA we sijui hawa jamaa vip
.
namba yao 15544 Ndo haitaki kuniacha kabsa, sijawahi jibu swali lolote et na point 20000

Kama na wengine wataiga basi ndiyo tutarudi kulekule mtu mmoja una line 5 za simu!
 
unless kama wanaplan, kuja na some awesome services very soon, this is hurting us! :A S-cry:
 
Back
Top Bottom