Hawa Vodacom Kulikoni Tena Wakuu

Huu ni upuuzi, kwani alowaambia kila anaeutumia huo mtandao anahitaji huduma ya m-pesa nani?!!!!
 
Binafsi sifurahishwi na kitendo cha wao kuzuia simu nazopiga kwa sekunde kadhaa ili nisikilize kwanza matangazo yao ndipo waniunganishe ilihali hawajui kama simu ni ya emergency au la

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwatoza watu eti kwa kuwa hawaja consume product yao ni upumbavu wakinifanyia hivyo kwenye line yangu tutaonana mahakamani, wajaribu waone!
Mahakamani utashindwa na kulipa gharama zote za kesi. Siku hizi Mahakama ni play ground of the rich kama Vodacom.
 
Kwani hii ni bank account?

Alafu kama sihitaji huduma ya mpesa,ni lazima niwe nayo?

Watu hawanunui laini za simu kwa ajili ya mobile money services, ni kwa ajili ha mawasiliano, hayo mengine ni ziada na mtu ana haki ya kuikataa.

Hili halikubaliki.
It is more or less a bank account! Handling your money/money transanctions.... keeping you M-pesa account safe.... these are services rendered to you!
All in all, you have a nice and effective way out, Just throw the line into the dust bin! All is done
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom