LAPUA MAGNUM 338 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 431 Reaction score 1,225 Dec 8, 2018 #2 Yani sawa sawa na gari unaenda kupaki ulale unaamka asubui side mirrol unakuta inaning'inia upande yan shida.
Yani sawa sawa na gari unaenda kupaki ulale unaamka asubui side mirrol unakuta inaning'inia upande yan shida.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,707 Reaction score 128,313 Dec 8, 2018 #3 Muacheni dada wa watu hapo akiamka anamalizia kutoa na hiyo ya upande wa kulia. Pia umetukosea wanawake tulio wengi na hicho kichwa cha habari chako.
Muacheni dada wa watu hapo akiamka anamalizia kutoa na hiyo ya upande wa kulia. Pia umetukosea wanawake tulio wengi na hicho kichwa cha habari chako.
Mwenda pole hajikwai JF-Expert Member Joined Oct 24, 2018 Posts 290 Reaction score 212 Dec 8, 2018 #4 Shadeeya said: Muacheni dada wa watu kwani hapo akiamka anamalizia kutoa na hiyo ya upande wa kulia. Pia umetukosea wanawake tulio wengi na hicho kichwa cha habari chako. Click to expand...
Shadeeya said: Muacheni dada wa watu kwani hapo akiamka anamalizia kutoa na hiyo ya upande wa kulia. Pia umetukosea wanawake tulio wengi na hicho kichwa cha habari chako. Click to expand...
Makosa JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 1,183 Reaction score 2,627 Dec 8, 2018 #5 Hivi shida yote hii huwa inakuwaga ya nini?
Ngorunde Platinum Member Joined Nov 17, 2006 Posts 5,902 Reaction score 12,622 Dec 8, 2018 #6 Sio vizuri kumpiga mtu picha akiwa usingizini na kuja kuirusha huku kwenye mitandao bila ridhaa yake. Huu ni udhalilishaji!!
Sio vizuri kumpiga mtu picha akiwa usingizini na kuja kuirusha huku kwenye mitandao bila ridhaa yake. Huu ni udhalilishaji!!
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,728 Reaction score 34,860 Dec 8, 2018 #7 Vitalis Konga said: View attachment 960141 Click to expand... Ww tafuna punane zao tu baas..... akili zao waachie wenyewe
Vitalis Konga said: View attachment 960141 Click to expand... Ww tafuna punane zao tu baas..... akili zao waachie wenyewe
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,865 Reaction score 8,273 Dec 8, 2018 #8 Vitalis Konga said: View attachment 960141 OVYOO Click to expand...
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,124 Dec 8, 2018 #9 Vitalis Konga said: View attachment 960141 Click to expand... Ana pua nzuri na midomo mizuri kwa yale mambo yetu
Vitalis Konga said: View attachment 960141 Click to expand... Ana pua nzuri na midomo mizuri kwa yale mambo yetu
Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,920 Reaction score 4,216 Dec 8, 2018 #10 Yame kukuta nn