Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,434
- 1,766
Uzee ni dhahabu.
Aisee! kwa namna hiyo?Uzee ni dhahabu.
hahah
GARI NI INJINI SIO BODIView attachment 3295561
Anzia kwenu š
Anajipenda huwa anapaka kichwani super blackView attachment 3295561
Anzia kwenu š
Hao kitakachowatenga na uraisi ni 'kifo' tuPichani ni Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na Swahiba wake kutoka Sudan Kusini wakiwa wanatembea kwa taabu kweli kweli.
Ninawashauri Wazee wangu hawa wapumzike waache vijana waongoze Nchi.
Waige Mfano wa Sleepy Joe wa Marekani aliyeamua kung'atuka kwasababu ya umri.
View attachment 3295515
Kumbe babu huwa anapiga kokoto,halafu huyu mzee picha huwa hazimtoi kama alivyo niliwahi kukutana dodoma nmb bank tawi la mazengo babu vyedi tu.Anajipenda huwa anapaka kichwani super black
Eti " vyedi tu" we jamaa bhana šššKumbe babu huwa anapiga kokoto,halafu huyu mzee picha huwa hazimtoi kama alivyo niliwahi kukutana dodoma nmb bank tawi la mazengo babu vyedi tu.
Jamaa anahangaika na watu wa nje, na wakati hapa kwake watu wanastaafu utumishi wa umma; halafu wanapewa tena ulaji wa kuwa wenyeviti wa bodi na taasisi mbalimbali za serikali!!View attachment 3295561
Anzia kwenu š
Mtu anastaafu huku anateuliwa kwingine, muda huo vijana tukiendelea kwenda VETAJamaa anahangaika na watu wa nje, na wakati hapa kwake watu wanastaafu utumishi wa umma; halafu wanapewa tena ulaji wa kuwa wenyeviti wa bodi na taasisi mbalimbali za serikali!!
Kati ya hao kuna aliyefikisha umri wa mzee wetu wasirra?Pichani ni Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na Swahiba wake kutoka Sudan Kusini wakiwa wanatembea kwa taabu kweli kweli.
Ninawashauri Wazee wangu hawa wapumzike waache vijana waongoze Nchi.
Waige Mfano wa Sleepy Joe wa Marekani aliyeamua kung'atuka kwasababu ya umri.
View attachment 3295515
Angalau SW anatembea bila kuchechemeašView attachment 3295561
Anzia kwenu š
Hiyo "Angalau" yani nini....wakapumzike wacheze na vitukuuAngalau SW anatembea bila kuchechemeaš
Pichani ni Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na Swahiba wake kutoka Sudan Kusini wakiwa wanatembea kwa taabu kweli kweli.
Ninawashauri Wazee wangu hawa wapumzike waache vijana waongoze Nchi.
Waige Mfano wa Sleepy Joe wa Marekani aliyeamua kung'atuka kwasababu ya umri.
View attachment 3295515
cha wafiepoPichani ni Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na Swahiba wake kutoka Sudan Kusini wakiwa wanatembea kwa taabu kweli kweli.
Ninawashauri Wazee wangu hawa wapumzike waache vijana waongoze Nchi.
Waige Mfano wa Sleepy Joe wa Marekani aliyeamua kung'atuka kwasababu ya umri.
View attachment 3295515