Hawa vijana wanasoma kweli au wanamambo yao?

Hawa vijana wanasoma kweli au wanamambo yao?

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,517
Reaction score
13,264
82f11d1ca80815460e04a0ae8eba21e8.jpg
 
wanasubiri mda muafaka ufike nasubiria hapa hapa hadi wazime taa nijue what next
 
Hapo wanavuta pumzi si unajua ni vijana wa vilaini a.k.a vijana wa chpsi yai na kuku wa wiki wa arv.
Hivyo hawana pooking ya kuunganisha ni vijana wa moko chali wanavuta nguvu waendelee na masomo yao ya kawaida kwao.
 
ha ha ha kwahiyo unahurumaa? kama angekuwa mazingira hatarishi angeondoka lkn kama kakaa hatari haipo
Hajajua kwamba yupo hatarini ni sawa na swala kucheza katkat ya simba...

Huoni hako kasharobaro kamevua shati kamebaki na bukta tu
 
Hajajua kwamba yupo hatarini ni sawa na swala kucheza katkat ya simba...

Huoni hako kasharobaro kamevua shati kamebaki na bukta tu
Huyo ni mtu mzima anaelewa kama ni genye wacha wamshushe huduma ya asili hiyo😀
 
Nimegundua kuna mpiga picha ambaye tumemsahau; kama ni wakike sijui.... ila kama ni wakiume wanaweza wakawa wanasoma kweli japo msuli hautapanda
 
Back
Top Bottom